Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Adamu Alphonce

Adamu Alphonce

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Messages
106
Points
250
Adamu Alphonce

Adamu Alphonce

Senior Member
Joined May 2, 2012
106 250
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
S4 ni noma nimeziona zote ninenulia watu juz kati but m S4 ipo level nyingine...A10 imenikera haina Flash light ya mbele inatumia mwanga wa kioo kama vile Iphone na pia ina 2gb ram na S4 ni 3Gb ram na front camera ni 32 gb na nuuma ni camera 3...Tecno sikushauri..!
 
farujohni

farujohni

Senior Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
159
Points
250
farujohni

farujohni

Senior Member
Joined Aug 20, 2017
159 250
A10 iko bomba inakaa moto kwamda mrefu izo zingine sizjuwi
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
770
Points
1,000
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
770 1,000
Nunua samsung galaxy s6 kwa 300000k tu achana na izo. 32gb memory camera bomba 3gb ram. Nipigie 0716119347
5c9db89cc332d27e2dc268ec9fbff7f8-jpeg.1153926
a92e0d358c933df81e0989e7660f1017-jpeg.1153927
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,974
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,974 2,000
performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.

According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.

Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.

4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)

Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,

Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800

Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.

ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.

display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.

camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.

Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
 
Giancarlo

Giancarlo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Messages
308
Points
500
Giancarlo

Giancarlo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2018
308 500

Hzo band unaangalia wap kwenye cm au ukisoma Gsm arena specification basi
 
Forum statistics

Threads 1,335,209
Members 512,271
Posts 32,499,212
Top