Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Duh, mzee hizi nondo ni level nyingine.
 
Mkuu haideserve zaidi ya laki 3 thamani yake, ikizidi Sana labda 350K sababu ya storage kubwa. Hivyo ukiipata within budget ni simu nzuri.
Chief, Xiaomi gani Mid range budget kwa sasa inafaa katika Speed,Storage,camera, kioo kikubwa na kukaa na chaji?
 
Aliexpress pia sizioni, Naweza kui replace na Note 7 pro??
ndio mkuu redmi note 7 pro ni nzuri zaidi kushinda redmi note 8, sema ni ghali zaidi pia. busara ni kusubiri kama miezi 2 na kuangalia reviews za hizi note 8/note 8 pro kwanza, ila kama una haraka note 7 pro pia ni nzuri, sd 675 ni 10nm inakaa na chaji sana, hivyo huenda ikakaa na chaji zaidi ya note 8 pro.
 
Nimetoka Aliexpress kuangalia bei zake naona zimechangamka sana.
 
hizo zenye pro mkuu ndio bei zinakuwa zimechangamka ila note 7/ note 8 bei zake ni kawaida zinaanzia around laki 3. mfano hapa naiona moja aliexpress kwa dola 144 ambayo ni kama 330k
Nakuomba ikifaa link ya hio niione tafadhali
 
Mimi naona S4 imetulia kwangu 3GB Ram, 4000mAh.Infinix haijawahi niangusha ila nazidi kufanya uchunguzi
#Hot6
 
hizo zenye pro mkuu ndio bei zinakuwa zimechangamka ila note 7/ note 8 bei zake ni kawaida zinaanzia around laki 3. mfano hapa naiona moja aliexpress kwa dola 144 ambayo ni kama 330k
Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako juu ya hii redmi note 7 kuanzia performance, camera, na chaji imekaaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…