Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

price naona zina range sawa tu mkuu aliexpress z6 unaipata kwa around 369k
Angalia vizuri mkuu Ni z6 ama z6 lite au z6 youth.

Z6 inakuja na snapdragon 730 compare na sd 710 ya lite yake, pia z6 Ina ram, internal na vitu vyengine vizuri zaidi compare na lite yake.
 
Mkuu niko nje ya mada kidogo.
Naomba msaada wako nina samsung note 3 ya mwaka 2014
Details zake ni kama ifuatavyo
Model:GT-N7100
FCC ID:A3LGTN7100
SSN:-N7100GSMH
Made in vietnam

Tatizo lake ni kwamba ikiwashwa inaandika....
"Firmware upgrade encounteredan issue.please select recovery mode in Kies&try again

Naomba msaada wako mkuu wa kiutalamu
 
Seems Kama ime corrupt, umejaribu kwa kies kuiflash? Ama hata kuflash kawaida na Odin?
 
kwa mtu aliyezoea kutumia simu kama tecno na dada zake hii infinix s4 inafaa sana lakini mimi nilijichanganya nikauza galaxy s6 nikanunua infinix s4 yaani nikijikuta naichukia tu na nimeamua wiki ijayo nikanunue s7 edge
Kama vitu gan ni 0?
 
Sijawah kuflash.
Kiukwel sijui chochote kusu hiv vitu...
Kama hutojali unaweza nipa procedure
Hio kies Ni software Yao wenyewe Samsung unaweza kudownload kwa kuigoogle tu then utaconect simu na PC kwa usb halafu fuata maelekezo haya.

Shukran mkuu ubarikiwe🙏
 
Z6 lite nzuri zaidi lakini hutopata update kama A3.
Pia A3 ina kamera nzuri zaidi hada ya mbele
Kitu walicho waangusha watu kwenye hyo a3 ni kuweka super amoled display ya 720p(hd),wakt camera yake inauwezo wa kurecord full hd(1080p).
 
Amani iwe kwa hii thread,,

Naomba mnisaidie kati ya hizi simu tatu ipi ni yenye uwezo mkubwa?kuanzia camera, perfomance na baterry.
1.xiaomi A3
2.xiaomi redmi note7 pro
3.samsung A 20

Chief-Mkwawa
 
Redmi note 7 pro mkuu,

perfomance
Note7 pro Ni - snapdragon 675 ram kuanzia 4GB na internal kuanzia 64GB
A3- Kama note 7 ram na internal Ila SOC Ni snapdragon 665 ambayo inapitwa na 675.
A20- hii Ina 3GB kwa 32GB storage na SOC Ni exynos 7884 ambayo Ni ndogo Kushinda hizo Hapo juu.

battery
Zote Zina 4000mah, core kubwa na ndogo sema A3 na note 7 SOC zake Ni 11nm zitakaa kidogo na chaji zaidi kuliko A20. Na A20 Ina resolution ndogo ya kioo na amoled Kuna situation namna ukiiset simu Ina potential na yenyewe kukaa zaidi na chaji. Ila kiufupi zote 3 zipo vizuri ukaaji chaji.

camera
Hapa A3 na note 7 pro zina camera moja picha hazitatofautiana Sana, hata Kama moja itamzidi mwenzake kidogo unaweza rekebisha kwa 3rd party camera maana hardware Ni moja, I expect camera ya A20 kutokuwa nzuri Kama ya hizo Hapo juu, hasa ukitumia 3rd party app.
 
Sema Kuna kitu chengine muhimu mkuu Ni band za 4G nimeangalia note 7 pro haina band 800, Ila Ina 1800, 2600 na 2300 hivyo itakuwa limited kwenye 4G ya Tigo, utaipata ukiwa mjini tu.

Mi A3 na A20 zenyewe Zina bands zote za Tanzania yaani 800, 1800, 2300 na 2600 hivyo zitashuka 4G zote ukiwa eneo lenye 4G kwa mtandao husika.
 
Kumbe tofauti ya mi A3 na note 7 pro ni Sd tu,
 
Sema Kuna kitu chengine muhimu mkuu Ni band za 4G nimeangalia note 7 pro haina band 800, Ila Ina 1800, 2600 na 2300 hivyo itakuwa limited kwenye 4G ya Tigo, utaipata ukiwa mjini tu.

Mi A3 na A20 zenyewe Zina bands zote za Tanzania yaani 800, 1800, 2300 na 2600 hivyo zitashuka 4G zote ukiwa eneo lenye 4G kwa mtandao husika.
Daah sema haka ka mi A 3 kananivutia kutokana na ile android one yake
 
Back
Top Bottom