alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,680
- 12,131
Safi kabisa
Vipi kwenye utunzaji wa chaji wa galaxy A10
Vipi kwenye utunzaji wa chaji wa galaxy A10
Safi kabisa
Duh, mzee hizi nondo ni level nyingine.performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.
According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.
Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.
4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)
Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,
Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800
Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.
ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.
display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.
camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.
Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Dada angu usifananishe Samsung na vitu vya kipumbavu.1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Chief, Xiaomi gani Mid range budget kwa sasa inafaa katika Speed,Storage,camera, kioo kikubwa na kukaa na chaji?Mkuu haideserve zaidi ya laki 3 thamani yake, ikizidi Sana labda 350K sababu ya storage kubwa. Hivyo ukiipata within budget ni simu nzuri.
Redmi note 8 mkuu, sema ndio imetoka hazijasambaa Sana.Chief, Xiaomi gani Mid range budget kwa sasa inafaa katika Speed,Storage,camera, kioo kikubwa na kukaa na chaji?
Aliexpress pia sizioni, Naweza kui replace na Note 7 pro??Redmi note 8 mkuu, sema ndio imetoka hazijasambaa Sana.
ndio mkuu redmi note 7 pro ni nzuri zaidi kushinda redmi note 8, sema ni ghali zaidi pia. busara ni kusubiri kama miezi 2 na kuangalia reviews za hizi note 8/note 8 pro kwanza, ila kama una haraka note 7 pro pia ni nzuri, sd 675 ni 10nm inakaa na chaji sana, hivyo huenda ikakaa na chaji zaidi ya note 8 pro.Aliexpress pia sizioni, Naweza kui replace na Note 7 pro??
nipe contact mkuuNunua samsung galaxy s6 kwa 300000k tu achana na izo. 32gb memory camera bomba 3gb ram. Nipigie 0716119347View attachment 1153926View attachment 1153927
Nimetoka Aliexpress kuangalia bei zake naona zimechangamka sana.ndio mkuu redmi note 7 pro ni nzuri zaidi kushinda redmi note 8, sema ni ghali zaidi pia. busara ni kusubiri kama miezi 2 na kuangalia reviews za hizi note 8/note 8 pro kwanza, ila kama una haraka note 7 pro pia ni nzuri, sd 675 ni 10nm inakaa na chaji sana, hivyo huenda ikakaa na chaji zaidi ya note 8 pro.
hizo zenye pro mkuu ndio bei zinakuwa zimechangamka ila note 7/ note 8 bei zake ni kawaida zinaanzia around laki 3. mfano hapa naiona moja aliexpress kwa dola 144 ambayo ni kama 330kNimetoka Aliexpress kuangalia bei zake naona zimechangamka sana.
Nakuomba ikifaa link ya hio niione tafadhalihizo zenye pro mkuu ndio bei zinakuwa zimechangamka ila note 7/ note 8 bei zake ni kawaida zinaanzia around laki 3. mfano hapa naiona moja aliexpress kwa dola 144 ambayo ni kama 330k
Nakuomba ikifaa link ya hio niione tafadhali
Shukrani mno.Online Shop Global Version Redmi Note 7 32GB ROM 3GB RAM (Brand New and Sealed Box) note7 32gb | Aliexpress Mobile
Global Version Redmi Note 7 32GB ROM 3GB RAM (Brand New and Sealed Box) note7 32gb on sale at reasonable prices, buy Global Version Redmi Note 7 32GB ROM 3GB RAM (Brand New and Sealed Box) note7 32gb from mobile site on Aliexpress Now!m.aliexpress.com
0716119347nipe contact mkuu
Kioo cha samsung s9 n bei ya shamba hekari 4 ifakara
Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako juu ya hii redmi note 7 kuanzia performance, camera, na chaji imekaaje ?hizo zenye pro mkuu ndio bei zinakuwa zimechangamka ila note 7/ note 8 bei zake ni kawaida zinaanzia around laki 3. mfano hapa naiona moja aliexpress kwa dola 144 ambayo ni kama 330k