Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
698
Points
1,000
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
698 1,000
performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.

According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.

Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.

4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)

Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,

Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800

Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.

ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.

display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.

camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.

Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Mkuu ivi Oppo a83 gb 64 ni nzuri..
 
abutwalib

abutwalib

Senior Member
Joined
Feb 9, 2016
Messages
162
Points
225
abutwalib

abutwalib

Senior Member
Joined Feb 9, 2016
162 225

Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.
Ila naomba unichambulie zaid hizi band za mitandao ya tanzania ili kama ntanunua simu nijue kabisa band za tanzania zipo zote au laa.
Mfano tigo kuanzia 2G,3G na 4G
Airtel pia na ttcl pia na voda pia
ili kama ntanunua simu basi nijue kabisa nanunua sim yenye uwezo gan
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
Samsung ni wazuri simu ikiwa mpya ila ukimaliza warranty tu unaanza kutembea na power bank. Hapo ndio matatizo yanapoanzia achilia mbali ukivunja kioo.

Wakati Tecno kioo ni 60-80k hao Samsung wao bei ya kioo itakuwa sawa na 80% ya bei halisi ya simu husika
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,

vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.

Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.
Ila naomba unichambulie zaid hizi band za mitandao ya tanzania ili kama ntanunua simu nijue kabisa band za tanzania zipo zote au laa.
Mfano tigo kuanzia 2G,3G na 4G
Airtel pia na ttcl pia na voda pia
ili kama ntanunua simu basi nijue kabisa nanunua sim yenye uwezo gan
Kwa 2G na 3G mitandao yote inafanana mkuu, hakukuwa na bands nyingi, mfano 3G Tanzania wote wanatumia 2100MHz.

Tatizo linakuja kwenye 4G yenye band takriban 40 tofauti tofauti,

Tigo ni 800 na 1800
Voda ni 1800
Smile ni 800
Smart ni 2300 (Kama bado wapo)
Ttcl ni 1800 na 2300

Hivyo ili upate 4G zote simu yako inatakiwa iwe na band za 800, 1800 na 2300.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
Mkuu ivi Oppo a83 gb 64 ni nzuri..
Mkuu haideserve zaidi ya laki 3 thamani yake, ikizidi Sana labda 350K sababu ya storage kubwa. Hivyo ukiipata within budget ni simu nzuri.
 
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
698
Points
1,000
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
698 1,000
290k jamaa ana taka aniachie mzigo ndo nilkua najiuliza if ni nzuri kwa matumizi japo pia ana A10... Inabidi nichague moja

Uzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,
Uzuri wa hio oppo ni 4GB ram na 64GB storage ambavyo ni double kwenye A10.

Display Kama zinafanana.

Pia oppo haina 4G ya Tigo na smile ambayo inapatikana maeneo mengi, utapata 4G ya Tigo inayopatikana mijini tu.

Ni fair kwa hio Bei mkuu.
 
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
698
Points
1,000
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
698 1,000
Uzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,
Uzuri wa hio oppo ni 4GB ram na 64GB storage ambavyo ni double kwenye A10.

Display Kama zinafanana.

Pia oppo haina 4G ya Tigo na smile ambayo inapatikana maeneo mengi, utapata 4G ya Tigo inayopatikana mijini tu.

Ni fair kwa hio Bei mkuu.
Sawa sawa
 
Agustino87

Agustino87

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
3,919
Points
2,000
Agustino87

Agustino87

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
3,919 2,000
Uzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,
Uzuri wa hio oppo ni 4GB ram na 64GB storage ambavyo ni double kwenye A10.

Display Kama zinafanana.

Pia oppo haina 4G ya Tigo na smile ambayo inapatikana maeneo mengi, utapata 4G ya Tigo inayopatikana mijini tu.

Ni fair kwa hio Bei mkuu.
Mkuu wewe ni mchambuzi bora.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,228
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,228 2,000
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,

vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.

Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.
Ahaa basi A10 ni cheaper.
 
Raida911

Raida911

Senior Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
118
Points
195
Raida911

Raida911

Senior Member
Joined Aug 6, 2018
118 195
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 π•Žπ”Έβ„β„π”Έβ„•π•‹π• 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼℀𝕀 𝕄𝕀𝔼℀𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,903
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,903 2,000
Wachina nyoko sana wanapamba cover halafu watu wanapambana kununua utadhani simu ni outer cover
 
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
1,893
Points
2,000
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
1,893 2,000
Nimepata A10,iko vizuri sana ,asante kwa muongozo@chief-mkwawa
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,

vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.

Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.
 
Raida911

Raida911

Senior Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
118
Points
195
Raida911

Raida911

Senior Member
Joined Aug 6, 2018
118 195
......BEI ZA DISPLAY - IPHONE ALL MODELS.......
* .
* TSH .
.
* * iPhone 3G
* Kioo; 35,000.
.
* * iPhone 3GS
* Kioo; 37,000.
.
* * iPhone 4
* Kioo; 40,000.
.
* * iPhone 4s
* Kioo; 45,000.
.
* * iPhone 5
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5c
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5s
* Kioo; 60,000.
.
* * iPhone 5 SE
* Kioo; 80,000.
.
* * iphone 6
* Kioo; 80,000.
.
* * iPhone 6plus
* Kioo; 90,000.
.
* * iPhone 6s
* Kioo; 85,000.
.
* * iphone 6s Plus
* Kioo; 95,000.
.
* * iphone 7
* Kioo; 150,000.
.
* * iPhone 7 plus
* Kioo; 180,000.
.
* * iphone 8
* Kioo; 200,000.
.
* * iPhone 8 plus
* Kioo; 250,000.
.
* * iPhone X-SUPER AMOLED.
* .....Kioo;300,000.
.
* * PIA VIOO VYA SIM NYENGINE TUNAAGIZA ...........Samsung,Huawei,Lenovo,Oppo, n.k
* * ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 π•Žπ”Έβ„β„π”Έβ„•π•‹π• 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼℀𝕀 𝕄𝕀𝔼℀𝕀 𝟞
* * Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS)#0784757203
* Whatsapp * #0784757203 .
...LOCATION
*Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Forum statistics

Threads 1,336,673
Members 512,696
Posts 32,547,374
Top