Ni sifa zipi za kujiunga na CHUO CHA JESHI MONDULI

so law

Senior Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
101
Reaction score
269
Habari wakuu...
Nina mtoto wangu wa kiume amemaliza form four mwaka 2015 ,bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri ..
Kwa mwaka mzima tumekaa nae ndani akiwa hajui aamue afanye nn
Lakin kama mzazi nimempeleka course tofauti tofauti nikisubr aamue nn utakuw mustakabali wa maisha yake..
Jana Kaja Na idea mpya kwamba anatak kwend jeshi nikimuangalia ni kweli anapend jeshi
lakin nilikuwa nataka asipite kwa njia za mkato
Kwahyo naombeni kujua

hvi ni sifa gani unazotakiwa Uwe nazo ili ujiunge na chuo cha mafunzo ya kijeshi MONDULI..?

Huwez kuwa muhitimu wa kidato cha 4 na uka apply?

Ada ni shngap?
Plz wadau nataka nimalize hili jukumu la Kijana wangu.
 
Mkuu kile sio chuo kama hivi vingine kwanza qualification za pale awe amefaulu vizuri form six yani division 1 au 2 then atajiunga na JKT kwanza wamuweke sawa akifaa ndio ataingia huko kama unataka mtoto wako asomee mambo ya kijeshi mpeleke sundhust united kingdom kule ataludi ameiva afungue kampuni yake ya ulinzi
 
Umemwambia jibu tosha kabisa kile sio chuo cha kuchukua fomu kama hivi vingine vya kiraia

Pale kuna process lazima upitie kwanza ndio wakuone wakuchukue
 
Mkuu hawezi kwenda monduli bila kupitia jkt,,, haraf kwa elimu yake ya form 4 itakua ngumu at list angekua form six,, Kama anapenda jeshi aende jkt akajitolee miaka miwili afanye kazi za watu,, haraf asubir ajira, lkn inabidi awe mvumilivu maana jkt sio mchezo
 
Ooh afadhali nashukur kwa kunifahamisha.
Ila huko UK ndo hapana sina pesa Hyo.
 
Kwakweli nashukur kwa ushauri wako.
Mkuu hawezi kwenda monduli bila kupitia jkt,,, haraf kwa elimu yake ya form 4 itakua ngumu at list angekua form six,, Kama anapenda jeshi aende jkt akajitolee miaka miwili afanye kazi za watu,, haraf asubir ajira, lkn inabidi awe mvumilivu maana jkt sio mchezo
 
Umemwambia jibu tosha kabisa kile sio chuo cha kuchukua fomu kama hivi vingine vya kiraia

Pale kuna process lazima upitie kwanza ndio wakuone wakuchukue
Mleta Mada anasema hataki Mwanae apite njia za mkato...ila anaomba utaratibu wa kuapply TMA kwa mtoto from form four. Anaweza kuwa hajui kweli...
 
Mzazi Nawe Haupo Sawa Sawa Upande Wa Kufuatilia Vyuo. Huwezi Kuulizia Chuo Kama TMA(Tanzania Military Academy),NDC (National Defence College)
 
Mkuu kile sio chuo kama hivi vingine kwanza qualification za pale awe amefaulu vizuri form six yani division 1 au 2 then atajiunga na JKT kwanza wamuweke sawa akifaa ndio ataingia huko kama unataka mtoto wako asomee mambo ya kijeshi mpeleke sundhust united kingdom kule ataludi ameiva afungue kampuni yake ya ulinzi
😵😵😵😓
 
Tatizo Kijana hana maono na Mimi nina majukumu inafika wakati nachoka pia... he's 21 now. Nategemea kidume ajiongeze lakin yupo tu. Mpka nakuja kujiachia mtandaoni. Sio yy peke yake naemsomesha plus full time job.
Mzazi Nawe Haupo Sawa Sawa Upande Wa Kufuatilia Vyuo. Huwezi Kuulizia Chuo Kama TMA(Tanzania Military Academy),NDC (National Defence College)
 
Tatizo Kijana hana maono na Mimi nina majukumu inafika wakati nachoka pia... he's 21 now. Nategemea kidume ajiongeze lakin yupo tu. Mpka nakuja kujiachia mtandaoni. Sio yy peke yake naemsomesha plus full time job.
Mtoto Wako Anakuangusha
Muda Mwingi Anatazama Sultan Tu
Haya Lazima Kijana Ajue Halafu Anakuletea Taarifa Wewe Unafanya Maamuzi

Mpeleke Veta Akasome Fani Mbalimbali Ambazo Zitamfanya Awe Busy
 
Jeshi halitabiliki ndugu, anaweza kupoteza mda sana huko, kama mpeleke veta , kuna kozi nzuri tu, mfano ufundi umeme wa magari.
 
Njia nyepesi ni hii asome advance science afaulu one au two, achaguliwe kwa mjibu jkt

Huko ndiko chance zinatoka makao makuu, wanachukuliwa direct mpaka monduli

Hii nafasi niliipoteza kizembe kabisa pale ruvu, kwa kutaman ki boom cha laki saba na bata za chuo
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
 
Mzee we jipange tu hata kidato cha nne unaenda. Zingatia neno langu la "JIPANGE"
Mwenzio yuko serious wewe unaleta masihala. TMA inatoa bachelor of Military Science . Sasa huyo aliyefeli form 4 hata form 5 zoa zoa hakufaa, hana sifa ya chuo kwa degree.... Sasa hajipange vip kupata nafasi TMA pamoja na sifa nyingine za kijeshi anapaswa awe na vigezo vya TCU maana hiyo degree ya TMA itatambuliwa TCU maana in take ya kwanza ndo wapo 2nd yr kama sikosei
 
Habari wakuu...
Nina mtoto wangu wa kiume amemaliza form four mwaka 2015 ,bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri ..
Kwa mwaka mzima tumekaa nae ndani akiwa hajui aamue afanye nn
Lakin kama mzazi nimempeleka course tofauti tofauti nikisubr aamue nn utakuw mustakabali wa maisha yake..
Jana Kaja Na idea mpya kwamba anatak kwend jeshi nikimuangalia ni kweli anapend jeshi
lakin nilikuwa nataka asipite kwa njia za mkato
Kwahyo naombeni kujua

hvi ni sifa gani unazotakiwa Uwe nazo ili ujiunge na chuo cha mafunzo ya kijeshi MONDULI..?

Huwez kuwa muhitimu wa kidato cha 4 na uka apply?

Ada ni shngap?
Plz wadau nataka nimalize hili jukumu la Kijana wangu.
Mnalidhalilisha jeshi, waliofeli ndo wawe wanajeshi? Labda akawe private na si officer
 
Mwenzio yuko serious wewe unaleta masihala. TMA inatoa bachelor of Military Science . Sasa huyo aliyefeli form 4 hata form 5 zoa zoa hakufaa, hana sifa ya chuo kwa degree.... Sasa hajipange vip kupata nafasi TMA pamoja na sifa nyingine za kijeshi anapaswa awe na vigezo vya TCU maana hiyo degree ya TMA itatambuliwa TCU maana in take ya kwanza ndo wapo 2nd yr kama sikosei
Tulia, Ng'ombe hawaishi mjini. Ashamwambia mleta mada ajipange...tulia Mtu afaidi windo lake.
 
Back
Top Bottom