kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Habari wanajamvi,
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2010 nimechukua kozi ya udereva BASIC DRIVING COURSE katika chuo cha Vocational Education Tanzania Authority yaani VETA mwaka huu na nimepata cheti changu mwezi wa 01/01/2017.
Kiu yangu na haja yangu ni kujiendeleza zaidi ili nije kuwa dereva wa magari ya serikali au kuwaendesha viongozi na watu mashuhuri.
Nataka nikasome kozi ya Defensive and VIP pale NIT,
Je kuna yeyote mwenye kujua wasifu wa mtu anayeweza kujiunga na chuo hiki kwa kozi tajwa hapo juu? Kama yupo naomba msaada wenu please.
Nawasilisha