Taifa letu
Member
- Jan 4, 2017
- 25
- 7
Mh.rais anaona bora kuachia huru wafungwa kuliko kuajiri askar magereza 800. Hapo hapo anasema hela hipo ya kununua Boeing mpya.....aisee yaan tatizo la ajira ni la kipaumbele kuliko tunavyoambiwa huku mtaani!!!!