Ni shida sana....!!!!

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,643
4,533
Hasa wakishajua udhaifu wetu uko wapi hata kama umechoka utampa tu anachohitaji....




achohitaji....ni nini sasa..?
 
Inabidi utafute matibabu haraka inaonyesha macho yako yamepoteza uwezo wa kuona jinsia za kiume!:wacko:

Unayosema kaka yanaukweli mkubwa sana ndani yake ila kwa suala la matibabu naona itakuwa vigumu kidogo kwani jinsia ya kiume naona hainihusu kwa muda huu...
 
Usifanye mchezo na mchna....

watu wanaongeaga tu mchina,hamna linalofanywa na mchina....humu ndani kuna mtu alikuja na thread ya kutaka kuongeza miguu.....hamna aliyekuwa na jibu kuhusu hizo dawa.....ni misemo tu ya kudhalilisha wadada...kiukweli hamna dawa zinazofanya chochote labda umuone surgeon ufanye plastic surgery.....
 

Nitakutafutia picha zake za zamani umuone alivyokuwa kapigwa pasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…