Kuwa makini, watu wakikuona huna muelekeo wanakufanya fursa!

Adrian2716

Member
Oct 23, 2023
98
287
Huku JF bhana watu wakishajua una shida wanakuongezea shida!

Niliweka thread humu ya kwamba nina degree ya Accounting and Finance hivyo natafuta ajira ili niweze kujikimu.

Ila sasa mtu anakuja PM anakuambia kuna ajira ila ajira yenyewe ukiitathmini ni kama inaenda kukuongezea shida tu, watu wa humu wakikuona huna muelekeo wanakufanya fursa, sio powa kwa kweli.
 
Ulitaka kuchapwa nao mkuu, Pole sana. Wabongo sio kabisa aisee. Wabongo hapana!

Shangaa unaumwa serious kabisa ukienda hosp Dokta anataka hela ndio akutibu, sijui ni unyama gani asee.

Ukiibiwa au kuvamiwa na majambazi ukienda polisi stesheni, polisi anataka hela ndo akusaidie, sasa unashangaa hivi huyu ni mtu au mbwa?
 
Yaani mkuu wanakufanya fursa na dili ambazo ni risk kabisa
 
Mwanzo Mgumu Mkuu.

Usichague sana kazi, maana kupata kazi ni kazi.

NI USHAURI TU! UNAWEZA KUUCHUKUA AU KUUACHA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom