Ni shida sana....!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni shida sana....!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by St. Paka Mweusi, Jul 16, 2012.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hasa wakishajua udhaifu wetu uko wapi hata kama umechoka utampa tu anachohitaji....[​IMG]  achohitaji....ni nini sasa..?
   
 2. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Jamani mbona tunakumbushana majonzi? Huyo si marehemu KANUMBA
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Afadhali kaka wewe umemuona huyo aliyekaa nyuma mimi sikumuona nimemuona huyu aliyeinama tu hapo....
   
 4. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Inabidi utafute matibabu haraka inaonyesha macho yako yamepoteza uwezo wa kuona jinsia za kiume!:wacko:
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Unayosema kaka yanaukweli mkubwa sana ndani yake ila kwa suala la matibabu naona itakuwa vigumu kidogo kwani jinsia ya kiume naona hainihusu kwa muda huu...
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unatutoa roho Jumatatu,
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  aunt ezekiel lakini ana shape nzuri....:israel:
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Usifanye mchezo na mchna....
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  watu wanaongeaga tu mchina,hamna linalofanywa na mchina....humu ndani kuna mtu alikuja na thread ya kutaka kuongeza miguu.....hamna aliyekuwa na jibu kuhusu hizo dawa.....ni misemo tu ya kudhalilisha wadada...kiukweli hamna dawa zinazofanya chochote labda umuone surgeon ufanye plastic surgery.....
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nitakutafutia picha zake za zamani umuone alivyokuwa kapigwa pasi...
   
Loading...