yani nlifungua thread nikuuluze inakuaje mwanaume unaandika maneno km hayo,bahati nzuri ur on the good side
mbuya mura aghao.
Mzima weye
wa afya tele, hofu kwako!
njoo pm tujuliane afya zaidi mamii!
Pm naogopa miss neddy atanichapa buree
usijali, miss neddy ndo ana funguo za PM, zikiingia pm chafu, hafungui ng'oo!
we ingia na nguo zako kabisaa mzima mzima! sawa mrembo mwenzake miss N?
Aya mr wa .....ucjar nakuja na nguo nikiwa nimejikufuli mahara
hahahaaa! usibane sana kufuli mamii, si unajua tena naweza nikachana bm 150! lol.
Shikamoo
Aya mr wa .....ucjar nakuja na nguo nikiwa nimejikufuli mahara