Wahenga wanasema usishindane na mwanamke ni kweli kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,413
Wanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo.

Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa wewe mwanaume.

Tokea ile kauli ya mabeyo na sasa umepata picha kuwa nguvu za wanawake wanabebwa na wanaume.
 
Fafanuaaa....!! Nchi inaendeshwa na wasjauri wa vyombo ulinzi kwa sasa
 
Nilishawaambia hapa kuwa u'simp sio dili kabisa. Tazama namna masimp yanatumika kufelisha taifa.
 
Back
Top Bottom