Ni Sheeedah Mweeee

Ni Sheeedah Mweeee

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
10986997_1043772308983612_1534403386568243188_n.jpg
 
mtu ukishajengwa na dhana flan kichwan mwako inakuwa hatar sana...watz wengi wametawaliwa na siasa .... sasa hapo kwa huyo dada njaa inatoka wapi?... uccm na ukawa utawauwa
 
Daaaah kapendezaje???? hebu msitutie ham timu vipara hapa
 
Akifanya Mzungu inakuwa fashion

american-flag-hair-dye.jpg
 
Akifanya Mzungu inakuwa fashion

american-flag-hair-dye.jpg

at least wazungu walio wengi wana sababu za msingi za kuzipenda nchi zao maana nazo zinawapenda raia...tell me about Tanzania!!! unless jina lako la tatu ni mwakawago, malechela. kinana, kimei, sykes, kolimba nk
 
It is a personal thing to love a country. Loving the country should be a patriotic thing. Ndio maana nchi zenu zinakuwa maskini huku mkitegemea miujiza.
 
It is a personal thing to love a country. Loving the country should be a patriotic thing. Ndio maana nchi zenu zinakuwa maskini huku mkitegemea miujiza.

ulishawahi kujiuliza deeply what is a country lakini?

and love should always be two-way traffic....kama nchi tangu hainipendi unategemea nitaipendaje?

there is always wajibu na haki..ukitimiza wajibu wako then haki isitendeke kwa upande wako hakuna mapenzi tena hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom