Ni shahidi: Harufu Mbaya Dodoma.

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Hello,
Kuna kitu nimekiona mkoani Dodoma, niliamua kuchana mitaa kadha wa kadha kwa miguu, baada ya kuingia katika manispaa ya Dodoma ili nijionee raha ama uzuri wa mji huu! Chakushangaza.

Line ya maji machafu/taka imeonekana kuharibika sana, maana kila ukifika karibu na tank ndogondogo za barabarani harufu yake ni mbaya na kali sana. Nilijaribu kuulizia wenyeji wakasema jambo hili halijawahi kuzungumziwa hata mara moja! hivi wahusika hawaoni hatari hii? Hii ni hatari inaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa jaman!

Viongozi mnaohusika na maji angalieni line za maji taka dodoma harufu ni mbaya mno!

Nawasilisha.
 
si dom tumeizoea hiyo harufu mpaka basi.
naikiondolewa wengine tunaweza kulalamika kwani tumeizoea ndo maana tumemchagua malole.
 
si dom tumeizoea hiyo harufu mpaka basi.
naikiondolewa wengine tunaweza kulalamika kwani tumeizoea ndo maana tumemchagua malole.
Du!kumbe mmemchagua kwakua wote mnapenda harufu hiyo iendelee kuwepo! Ringo hapa Dom hatujawahi kuwa na mbg makini kama PADRI SUPA na hata sijui yuko wapi sasa huyu jamaa.Ila mstue malole asiendekeze kumsikiliza saana Onyango atampoteza,mchekeshaji huyo asiye na sikuli atamshauri nini?
 
Back
Top Bottom