Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa Awamu ya Tano)?

Sinza pamekwisha kabisa,

Biashara ya safari,balimi,kvant na konyagi imeshamiri, watu wanakunywa ili walewe tu,walale pakuche,nchi imekata tamaa
Mzunguko mkubwa wa pesa hapo awali ambao ulichangamsha baadhi ya maeneo ni zilikuwa pesa chafu za deal,madawa. Kutakatisha pesa. Sinza na kinondoni ndo walikuwa vinara..
 
Back
Top Bottom