Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa Awamu ya Tano)?

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
42
44
Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?

In terms of mambo kama ajira, ujenzi wa majengo, ujenzi wa barabara, biashara, usafiri, utalii, uvuvi, mabenki etc.

Is it City centre? Is it Kariakoo area? Is it Mlimani City area? Is it Mikocheni? Is it Masaki? Is it Airport area? Is it bandarini area? Is it Mwananyamala area?

Na ni sehemu gani ya Dar es Salaam imedorora kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?
 
Dah ! Ngumu kusema kuhusu awamu ya 5, ila awamu ya Jakaya ni rahisi na ndiyo inabeba taswira ya Jiji letu hii leo. kama ktk video hii

Sinza pamekwisha kabisa,

Biashara ya safari,balimi,kvant na konyagi imeshamiri, watu wanakunywa ili walewe tu,walale pakuche,nchi imekata tamaa
Huku kwetu ndio hivyo hivyo,... Vijana wamekuwa wateja wa hivi vitu wanaanza kupasha asubuhi sana
 
Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?
In terms of mambo kama ajira, ujenzi wa majengo, ujenzi wa barabara, biashara, usafiri, utalii, uvuvi, mabenki etc.
Is it City centre? Is it Kariakoo area? Is it Mlimani City area? Is it Mikocheni? Is it Masaki? Is it Airport area? Is it bandarini area? Is it Mwananyamala area?
Na ni sehemu gani ya Dar es Salaam imedorora kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?
Morogoro Road imekuwa sana!
 
Ndio style gani hiyo ya kupima ukuaji wa sector kubwa kiasi hicho kwa space ya mtaa? Uvuvi tu unaajiri zaidi ya watanzania million 10 sasa wote hao wapo mtaa fulani Dar? Usafirishaji ni kuanzia Bandarini, Airports, stendi za mabasi, reli, ziwani napo pameajiri mamilioni ya watanzania sasa unaanzaje kuwapima kimtaa?

Hizi akili ndio huwa zinadai zinaibiwa kura.
 
Sio Dar tu! nchi nzima imedumaa na kudorora. Ndio maana wanakalia ripotiza IMF kwa kuwa hali ya uchumi ni tete.
Kwenye ziara za rais huko mikoani ukibahatika kuona ule Msafara wa jiwe ndio ujuwe huo uchumi umewekwa kwenye sandarusi na MTU mmoja
 
Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?

In terms of mambo kama ajira, ujenzi wa majengo, ujenzi wa barabara, biashara, usafiri, utalii, uvuvi, mabenki etc.

Is it City centre? Is it Kariakoo area? Is it Mlimani City area? Is it Mikocheni? Is it Masaki? Is it Airport area? Is it bandarini area? Is it Mwananyamala area?

Na ni sehemu gani ya Dar es Salaam imedorora kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?

Vijiwe vya bange na pombe za kienyeji labda sababu ya ugumu wa maisha.Sector zote zimedorora zinalimia meno Kama alivyotaka ili apate Furaha.
 
Masaki mpya zilikuwa zinahibuka kila kukicha.Kuna chimbo lipo kinyerezi unaweza ukadhani hupo Obey.Niliuliza nikaambiwa wakati wa JK.Sasa hivi ata chumba kimoja ndoto.

Kaharibu mzunguko wa fedha.In short ni muharibifu wa kila kitu.
 
lakini tumejitahidi,pale chuo kikuu,tumejenga mabweni,library,tunajenga starndard gauge,daraja la baharini kwenda ostabei,flyover ya mfugale etc
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom