Ni sehemu gani kwa hapa Dar wanafundisha computer programming?

Ni sehemu gani kwa hapa Dar wanafundisha computer programming?

Samahani wandugu kwa kuchelewa kujibu. Nimekuwa na shughuli kidogo so nachungulia mara chache kwa hapa.
Kuna kitu kizuri tuaandaa kwa ajili ya Developers wa Tz na pia tulikuwa tunahamisha office kwenda sehemu ambayo itafaa. Kila kitu kipo vizuri na course zitatangazwa baada ya kuwa updated.

Pia tunaanda Certificate of recognition kwa wanafunzi waliopita, katika Pilot program yetu.
Updated details zitakuja soon katika website yetu, JF, FB, Twitter et al.

Kama una maswali public, uliza hapa nitajibu na kama una maswali private twende PM

Mbarikiwe!

Shukrani wote mlionitag Nyasiro na elmagnifico nitawaona PM siku si nyingi, nina neno nanyi 🙂
 
Last edited by a moderator:

Ni mfumo gani mnatumia katika kufundisha
 
Last edited by a moderator:
kama unataka kuwa programmer mzuri ni wewe tu kuamua,na siyo kutafuta kufundishwa na programmer mzuri
weka juhudi na nia.
"programming ni hesabu" fanya practice za kutosha ikiwezekana kila siku.
 
kama unataka kuwa programmer mzuri ni wewe tu kuamua,na siyo kutafuta kufundishwa na programmer mzuri
weka juhudi na nia.
"programming ni hesabu" fanya practice za kutosha ikiwezekana kila siku.
Ulijifunza online au ulichukua materials kutoka kwa qualified programmer
 
Jifunze mwenyewe kama mdau alivyokwambia hapo juu nunua vitabu eg 'JAVA how to program" practices kila siku. programmers wote wamejinfunza wenyewe na sikuhizi kuna online platform nyingi tu for learning how to code free of charge au unalipa kidogo tu.
 
mkuu all in all basic Ni muhimu ukishakuwa na basic atlesst unaweza kuanza kujifunza mwenyewe
 
Nina maana ya kwamba unafundisha programming moja moja( c,c++,java,html) na gharama yake au unaanzia na basics za computer
Unaanzia basics za programming (building blocks) kwa kutumia language husika, then unaenda taratibu upper the ladder.
Kila Course ni independent na ina levels zake. More details zitakuja soon (michanganuo yote)
 
Jifunze mwenyewe kama mdau alivyokwambia hapo juu nunua vitabu eg 'JAVA how to program" practices kila siku.
True, ila jiandae na maumivu yake. Nimepitia huko najua ninachosema. Unless unataka kuishia hello world, uwe na moyo wa jiwe 🙂

programmers wote wamejinfunza wenyewe na sikuhizi kuna online platform nyingi tu for learning how to code free of charge au unalipa kidogo tu.
Lie ... Brin Sergey na Larry Page, founders wa Google walisoma, tena sio kaelimu bali lielimu!
Mtu kusoma wapi na how ni chaguo lakini ni vema ukaweka Pros na Cons ili usimpe mtu false hope!
 
Wadau ninataka kujifunza computer programming Kama vile C++,java,HTML n.k. Nimejaribu kutafuta hapa Dar lakini sijafanikiwa.Kuna sehemu yeyote hapa Dar wanafundisha hizi programs?

Angalia programming video courses kwenye www.alphonce.net

Unaweza kujifunza programming au course zingine za IT ukiwa nyumbani tena kwa gharama rahisi sana
 
Back
Top Bottom