medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,449
- 1,536
Wadau ninataka kujifunza computer programming Kama vile C++,java,HTML n.k. Nimejaribu kutafuta hapa Dar lakini sijafanikiwa.Kuna sehemu yeyote hapa Dar wanafundisha hizi programs?
mcheck hossana tech kama wataka kuwa programmer, ila kama wataka cheti vyuo vingi tu.
Hata centerMkuu ni kama sijakuelewa hivi, unamaanisha center au chuo!!?
Ipo wapi hiyo center? Na vyuo kama vp? Nilishawahi kwenda ucc sikufanikiwa
Shukrani mkuu. Ngoja nimtafuteHuyo jamaa anaitwa stefano yumo jukwaa hili ni programmer na mwalimu mzuri sana.
Vyuo kuna D.I.T kuna kingine kiko mikocheni jina nimesahau kinaitwaje.
Shukrani mkuu. Ngoja nimtafute
Hata center
Ingia hapa http//:www.hosannahighertech.co.tz/
Mweny kufahamu ada zao zikoje wakuu?
mkuu hyo link haifunguk unaweza kutupatia nyingine au namba zake za simu
Stefano Mtangoo atakuja hapa. Kwa maelezo zaidi: Hosanna Higher Technologies - TrainingStephane pls tunaomba contact yako
Asante mkuu.Nimeingia kwenye websites yao nimefanikiwa kuziona Kozi za programming.Kesho nitaenda kuuliza ada zao ili nijueHuyo jamaa anaitwa stefano yumo jukwaa hili ni programmer na mwalimu mzuri sana.
Vyuo kuna D.I.T kuna kingine kiko mikocheni jina nimesahau kinaitwaje.
Asante mkuu.Nimeingia kwenye websites yao nimefanikiwa kuziona Kozi za programming.Kesho nitaenda kuuliza ada zao ili nijue
Hamna tatizomkuu km hutojali utanipa updates maana na Mimi na mpango WA kusoma programming kwa sasa nipo moro ILA jmosi ntakuwa nimerudi
Asante mkuu.Nitakiulizia na ikokuna chuo kingine mkuu kinaitwa Unique academy. kipo posta nyuma ya mahakama ya kisutu, hicho ni chuo cha wahindi na kipo powa saana ingawa ada yao kidogo ni kubwa ila si saana. Mdogo wangu anasoma hapo computer networking (bachelor). pia kuna computer programming na short courses mbalimbal kama web design, hacking, e.t.c, pia ukajarib na hicho chuo mkuu nakuhakikishia hutojilaumu kupoteza muda na hela yako. kila la heri