nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Me too...mh...:A S cry:
Bcos I am 😕
Why confused and I am here babe?talk to me
Kama umewahi kuishi sehemu za baridi LIP BALM huwezi ziepuka na hadi daktari wako atakushauri hivyo!
LIP BALM sio urembo ni lzm maana zina dawa ya kuzuia midomo isichanike!I have been used
it for a while now huku kwenye baridi kali
Chembechembe za ushoga zinawasumbua wanaume wengi. Watu huwa wanamponda nisha bebi yule mtengeneza video kua anapaka hiyo makitu kumbe ndio wapakaji wakubwa..
Hivi unajua kuna watu wamezaliwa mijini na hawana televisheni,nyumba ,wala magari????!!!Hata wenye navyo baadhi wakiwa watoto hawakuwa navyo????!!!!mimi nilizaliwa sehemu zenye baridi wala sikuwa natumia lipbalm, hata hao wanaotumia, cdhan wakati wakiwa watoto kama walikuwa wakitumia. Au tuambiane kama kuna umrh ukifikia ndo unapaswa kutumia hiyo lipbalm.
mimi nilizaliwa sehemu zenye baridi wala sikuwa natumia lipbalm, hata hao wanaotumia, cdhan wakati wakiwa watoto kama walikuwa wakitumia. Au tuambiane kama kuna umrh ukifikia ndo unapaswa kutumia hiyo lipbalm.
Mm binti yangu kazaliwa kwenye baridi na dr wake kamuandikia awe anapaka lipbalm!Conclusion ni kuwa lipbalm ina dawa inayosaidia lips zisichanike
Hivi unajua kuna watu wamezaliwa mijini na hawana televisheni,nyumba ,wala magari????!!!Hata wenye navyo baadhi wakiwa watoto hawakuwa navyo????!!!!
Kwani kweli kwamba hivi vitu hupatikana kwa umri fulani????!!!
Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.
Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana.
Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.
Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume.
Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihisi kama njiani nasemwa kwasababu sijui.
Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji.
kuna lipbam za tiba hasa maeneo yenye baridi kali hii haina shida, lakini lipbam kwa ajili ya urembo tena mwanaume rijali nasema HA.PA.NA.
Endelea kupakwa vitu usovijua na impact yake kwa jamii,ndo maana unajihisi watu kukusema unapotoka saluni wakati umejipodoa!Labda ni wakameruni watarajiwa..mi simo endeleeni.
Mafuta ya kupaka kwenye lips....