Lipbalm ni kwa madada tu na wabana pua mwanamme paka vaseline tu kuzuia kupasuka na gaga za midomo.
Lip bum ndo nini?
Yaani mwanaume kupaka lipbam!!! He he he he he!! Hakuna kitu hicho!!! Vinginevyo utakuwa mwanaume kwa matumizi mengine yasiyo ya kiume!!! Hivi ukimwona mwanao wa kiume anapaka lipbam kwa miaka hii si itabidi uanze kuchunguza!!! Wanaume wengi hakuna cha lipbam na kama hata ni lotion ni lazima ziwe dry lotions!!! Nimeshangaa sana!!
Na kweli tangia excel aondoke napata wasi wasi
The Boss najua umeelewa. Kuna mdau kasahihisha spelling huko nyuma.
Swali langu kwa mleta uzi. Ni salon gani wanawapaka hizo balm kwa maana navyofahamu hiyo kitu haichangiwi. Kila mtu anakuwa nayo yake(Kwa aatumiaji).
Zaidi nimeshawahi ona wale wadada wa salon wakiwapaka mafuta mazito kitu ambacho si cha ki staarabu hasa ukizingatia usafi wa mtu na mtu.
LIPbam ndo nini??wadau msaada
cyo LIPbam, ni LIPBUM.
okey mkuu
SASA HIYO NI NINI MKUU shee acha hasira nielezee
soma from page 1 to infinite utapata jibu
unaninyima samari
Uzi ushaenda sana shee kake moda
Ila jamani kuwa mwanaume si ndio uwe na ngozi kama ya kenge...
kuna mkaka natamani kumwambia wapi akanunue cocoa butter oil za miguu maana anavaa sandals madai yake summer sasa hiyo miguu mwee nadhani akikugusa lazima uchunike ngozi...
Kuna watu wanadhani usafi kwa mwanaume ni kuoga tu...ngozi haijawahi kuwekwa mafuta...
Watakua mashoga...loading error...