Ni sawa Mwanaume kujipaka lipbum?

Ni sawa Mwanaume kujipaka lipbum?

Mkuu hata Dar kuna watu wanahitajika kutumia sababu ngozi na especially lips tunatofautiana sana kweli hali ya hewa ni moja ya sababu lakini pia wapo watu wana scally dry lips! !!

mkuu lips hazina sweat wala glands nyingine zozote za ku-moisten skin kama sehemu zingine za mwili kwahio mdomo wako unatumia ulimi wako kuufanya usikauke uwe dsm au popote duniani.lakini kwa nchi za baridi ulimi hautoshi ndio maana hadi ngozi ya lips hapa katikati inapasuka tena wewe mwenyewe bila kujua ndio maana unashauriwa utumia lip balm......pia nakubaliana na wewe kuna watu lips zao ni dry sana wanaweza kuhitaji hii kitu kila mahali regardless of their sexes.
 
Kwa nchi za baridi hamna mwanaume au mwanamke, wote lazima mpake...usipopaka hakika midomobitakauka na kukatika vibaya, lakini pia zimewekwa za wanaume na wanawake. Mazingira yetu yanategemea ngozi ya mtu, wapo wenye lips kavu Sana na sio vibaya wakipaka ila waangalie wasitumie za kike.
 
haina ubaya mbona ila angalia usiikoleze ikang'aa kama kiwi
 
Lipbalm ni kwa madada tu na wabana pua mwanamme paka vaseline tu kuzuia kupasuka na gaga za midomo.
 
Majuzi apa ilikuwa wanaume kuvaa cheni..leo lip bum...naona uyu dogo benteke anajidai haijui lol

Ila sasa tunarudi kule kule kutojua matumizi yake lakini pia orthodox thinking tu kwamba nikitumia kitu flani nitakuwa "mwanamke" hata kama hatujajua faida/hasara zake.....sasa lip bum sehem za baridi na upepo mkali inasaidia sana ili mradi hupaki lip stick na sio za kung'aa sana, muhim kwa afya ya lips.

Sketi wameshaanza kuvaa baadae wataanza bikini

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Minaona inategemea na mazingira unayoka, huku nnapo fanyia kazi Afghanistan ni desert kabisa so tunashauriwa tupake lipbalm la sivyo lips za mdomo zinakuwa na vidonda au kufanya nyufa za mipasuko. So sioni shida mkuu ila isizidi.
 
nilikua naangalia kipindi Kaizer ,we pia wajua huwezi kuangalia kipindi bila kumuona mtangazaji...na vile ilikua imekolea lazima uione tu
Ulikuwa unaangalia kipindi
au umeconcentrate kumwangalia mtangazaji
mwallu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanaJF,

Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.

Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana.

Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.

Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume.

Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihisi kama njiani nasemwa kwasababu sijui.

Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji.
colorless lip bum its okay, i do the same.
 
Yaani mwanaume kupaka lipbam!!! He he he he he!! Hakuna kitu hicho!!! Vinginevyo utakuwa mwanaume kwa matumizi mengine yasiyo ya kiume!!! Hivi ukimwona mwanao wa kiume anapaka lipbam kwa miaka hii si itabidi uanze kuchunguza!!! Wanaume wengi hakuna cha lipbam na kama hata ni lotion ni lazima ziwe dry lotions!!! Nimeshangaa sana!!
 
Na huu upepo....acha kujipaka uone lips zinavokuwa kama kisigino
mi sioni shida ila zisiwe za rangi kama wanazopaka kina ommy dimpoz na wabana pua wenzie
hao ndo wale hata touch screen za sim zao wanazigusa kama mashosti!

huo muda unaupata wapi?

Mi ninavyojua mwanaume must try to be as natural as he is!

kunywa maji ya kutosha, punguza pombe kwa sana lips zinakuwa si kavu hivyo!

wenye matatizo hayo ni wazungu wenye weak skin!
 
Back
Top Bottom