Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,323
Kwani Kila saa unang'arisha mdomo?yaani mwanaume utembee na vitu hivi mfukoni!
sasa hizo ni lips au viatu?
Kwani Kila saa unang'arisha mdomo?yaani mwanaume utembee na vitu hivi mfukoni!
Lip bum ndo nini?
Hivi kuna dry lotions kweli?!
Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.
Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana.
********
Ni sawa ilimradi isiwe ya colour...Iwe colorless...Inasaidia mdomo kutopasuka au kutotoka vingozi ngozi...Si mbaya ila asipaka ndio ikawa inang'aaa kama mwanamke....Akiingarisha sana huyo tutakuwa tunamashaka nae...Inafaida nyingi si urembo tuu bali hata kusaidia ngozi ya mdomo
Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.
Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume.
Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihisi kama njiani nasemwa kwasababu sijui.
Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji
Na huu upepo....acha kujipaka uone lips zinavokuwa kama kisigino
mi sioni shida ila zisiwe za rangi kama wanazopaka kina ommy dimpoz na wabana pua wenzie