liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
ningependa kujua mama tunu ana kazi?? i mean kaajiriwa mahali? au ni mama wa nyumbani?
Anapika mama ntilie manzese.
ningependa kujua mama tunu ana kazi?? i mean kaajiriwa mahali? au ni mama wa nyumbani?
jamani huyu mama alikuwa beki3, sasa lazima ajionyeshe kwa mashosti zake kwamba she is somebody now, more over mtoto wa mkulima hana pingamizi kwake ili aendelee kumtunzia siri ambayo its no longer siri kwa wengi we2,hasa ukizingatia aliwatibua ma Dr.
ningependa kujua mama tunu ana kazi?? i mean kaajiriwa mahali? au ni mama wa nyumbani?
Subiri Lowasa kwenda msibani na kutoa ubani anajipanga aendaje
Nchi ya hovyo sana hii yaani haina vipaumbele sijui kwa nini? Yaaani unakurupuka ikulu sijui kule coco unaenda kwenye msiba wa kanumba!! Mbona kafa mzee kipara hamkwenda!! Pumbafu kabisa hii mijitu...na wewe mama tunu nakuonaga babu kubwa kumbe na wewe kama mwenzio wa magogoni !! Aghhhh[/QUOTE
KANUMBA 28 - Mzee kipara 90 wapinawapi au ulikuwa unataka Mz kipara aishi 900. Inaoneka huhu msiba kwako sio issue. R.I.P the THE GREAT KANUMBA.
hiyo sio habari ulitaka atumie taxi, mamabo mengine jamani hayana mashiko. tujadilini mambo yenye tija kwa taifa sio hilo la kufika hapo na gari laserikali mulitaka atembelee gari gani sasa.
hiyo sio habari ulitaka atumie taxi, mamabo mengine jamani hayana mashiko. tujadilini mambo yenye tija kwa taifa sio hilo la kufika hapo na gari laserikali mulitaka atembelee gari gani sasa.
ukweli in ur heart,she deserve this?
Mkuu umenikumbusha. Hawakuonekana kwa Mzee Kipara au kwa kuwa alifia Kigogo kwa binti Kayenga na huyu kafia Sinza!
Tunaelekea kuwa kama wakenya manake wao kwenye msiba lazima mtu apige kampeni. Akisali kanisani anapewa kusalimia wapigakura na kutoa neno la siasa!
ningependa kujua mama tunu ana kazi?? i mean kaajiriwa mahali? au ni mama wa nyumbani?