Ni sawa kwa Mama Tunu Pinda?

Ni sawa kwa Mama Tunu Pinda?

Status
Not open for further replies.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Nimepitia blogu ya Michuzi na kuona Mama Pinda akiwa kwenye msiba wa Steve Kanumba. Lakini vilevile Mama Pinda kaenda pale akiwa kwenye gari ambayo ikiwa na nembo ya Taifa ambayo inatumiwa na Raisi au Waziri Mkuu. Je ni haki kwa mke wa Waziri mkuu au Raisi kutumia gari iliyo na nembo ya Taifa wakati wenyewe hawana hadhi hiyo?

Pinda2.jpg

attachment.php



23.jpg
 

Attachments

  • Pinda.jpg
    Pinda.jpg
    78.4 KB · Views: 247
Kwani kanumba alikuwa mtumishi wa serikali? kuna kaelement ka ulimbukeni, makidai, zaidi sana dharau kwa mali za uma.
 
Si haki hii ni against protocol...this is an abuse to the Govt ingawa ni mke wa W/Mkuu lakini hapaswi kutumia at whatever cost.
 
Mama ni VIp na hawezi enda mahali na usafiri tofauti na huo kwa ajili ya usalama wake. Kunamambo mengi makubwa na madogo lakini sio kitu kama hichi. Njaa Gani hizi?
 
Hawa tatizo ulimbukeni ngojea uone zaidi na wamagogoni atakujaje. Lazima aje na kangha ina mipasho mumjue vzr
 
Nchi ya hovyo sana hii yaani haina vipaumbele sijui kwa nini? Yaaani unakurupuka ikulu sijui kule coco unaenda kwenye msiba wa kanumba!! Mbona kafa mzee kipara hamkwenda!! Pumbafu kabisa hii mijitu...na wewe mama tunu nakuonaga babu kubwa kumbe na wewe kama mwenzio wa magogoni !! Aghhhh
 
kesho lowasa anakuja kutoa mil. 50 kwa familia ya marehemu.
Tayari mzee mamuvi kashaona kuna wapiga kura wake hapo.
 
Mi nilisema msiba huu utageuzwa uwanja wa kisiasa subiri na wale jamaa wanao utaka urais
Mkuu mbona tayari! Mzee 6 akiwa na Nape wamejihudhurisha bado akina EL. Nadhani EL ataenda kanisani.
 
Nchi ya hovyo sana hii yaani haina vipaumbele sijui kwa nini? Yaaani unakurupuka ikulu sijui kule coco unaenda kwenye msiba wa kanumba!! Mbona kafa mzee kipara hamkwenda!! Pumbafu kabisa hii mijitu...na wewe mama tunu nakuonaga babu kubwa kumbe na wewe kama mwenzio wa magogoni !! Aghhhh
Mkuu umenikumbusha. Hawakuonekana kwa Mzee Kipara au kwa kuwa alifia Kigogo kwa binti Kayenga na huyu kafia Sinza!
Tunaelekea kuwa kama wakenya manake wao kwenye msiba lazima mtu apige kampeni. Akisali kanisani anapewa kusalimia wapigakura na kutoa neno la siasa!
 
Nimepitia blogu ya Michuzi na kuona Mama Pinda akiwa kwenye msiba wa Steve Kanumba. Lakini vilevile Mama Pinda kaenda pale akiwa kwenye gari ambayo ikiwa na nembo ya Taifa ambayo inatumiwa na Raisi au Waziri Mkuu. Je ni haki kwa mke wa Waziri mkuu au Raisi kutumia gari iliyo na nembo ya Taifa wakati wenyewe hawana hadho hiyo?

View attachment 51285


Hayo ndiyo matumizi mabaya ya rasilimali za taifa ndugu yangu.
 
Hayo ndiyo matumizi mabaya ya rasilimali za taifa ndugu yangu.

Usafiri anaweza kupewa, hilo hatuwezi kukataa lakini hoja hapa ni kwa nini atumie gari yenye nembo ya Taifa? Viongozi ambao wanatakiwa kutumia nembo ya Taifa wake zao nao wanatakiwa kutumia?
 
Yapasa wananchi
muchukue
hatua! Hatua gani
akili unayo!.
 
ningependa kujua mama tunu ana kazi?? i mean kaajiriwa mahali? au ni mama wa nyumbani?
 
jamani huyu mama alikuwa beki3, sasa lazima ajionyeshe kwa mashosti zake kwamba she is somebody now, more over mtoto wa mkulima hana pingamizi kwake ili aendelee kumtunzia siri ambayo its no longer siri kwa wengi we2,hasa ukizingatia aliwatibua ma Dr.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom