Ndio ni SawaNi sawa ?
Ni sawa kabisakumbe mkeo ni ndg yako hujitambui
Sio sawa kabisa na sio haki ila kuna mazingira yanawalazimisha baadhi ya watu kufanya hivyoKuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake.
Ni sawa ?
Mshtue mshtueKuna mwanaume namfahamu naona siku zake za kuishi zinahesabika maana huyo mke wake kwenye swala la mali🫡
Nmshitue ili siku wakilala bila nguo anianikeMshtue mshtue