Ni sahihi mwanaume kulala nyumbani kwa mwanamke?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,078
Habari JF?

Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania.

Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago.

Tumerejesha mawasiliano hivi karibuni, after kumuambia nipo kwenye mkoa husika, ameniomba nisiingie cost bure, badala yake nifikie kwake coz anaishi mwenyewe tu.

So naomba kuelimishwa kama ni sahihi kwa mimi kufikia nyumbani kwa huyu mwanamke or not?
 
Mkuu hawa viumbe bwan mung hakukosea kuw tuish nao kwa akil ukijikoroga ukaenda umeliwa mkuu hap huwez jua muda wote ambao mmetengan je hakuwah kuwa na mahusiano ya kudum na mtu na je kam alikuwa nae unajua veep kam hawako pamoja mwishowe fikir uend au la lakin kwa ushaur mwanaum huwez kuwa hiv
 
Ukishaona jambo ni rahisi sana lichunguze zaidi huenda unakosea sehemu au lina gharama kubwa iliyojificha.


Mwanamke akisema tumewasiliana juzi tu ila njoo lala kwangu, niko mwenyewe, ww njoo tu usiingie gharama. "That is too easy"
 
Back
Top Bottom