Ni sahihi mke kufua boxer/kufuli la mume wake?

michepuko ipo vizuri kila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yo
u are well trained
 
Sijakusuta mkuu... Ila kwa mie naeleewa hilo ni jukumu mojawapo la mke, mwanaume huwa anashawishiwa na vitu vidogo mnoo na sio kama hawezi kufua hiyo nguo, huwa wanataka kuona ni unajali, unaupendo wa namna gani
Namna hiyo Sakayo safi sana...sasa umekuwa mfano mzuri kwa Sky Eclat ajionee kuwa sio la ajabu na sio kutaka equality kwenye kila jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akishaanza kuona kadhia kumfanyia mwenzake basi hapo moyo haupo..mapenzi si maneno bali ni mchganganyiko wa mawazo,maneno na matendo anayoyafanya mtu kwa mwenzake bila kuogopa nani atasema nini.
Halafu ukishaona kinyaa kwa mwenzi wako basi jua either UPENDO hakuna au umeingia.
Kwataarifa yako hayo ndo makandokando ndani ya penzi na wakati mwingine hayana majibu ya kwanini yafanyike.. kwani mtu akikuuliza kwanini unatumia pilipili kwenye chakula? Kwani inashibisha? Mbona wengine hawatumii. In short it's up 2 U kutafuta njia mbalimbali za kudumisha penzi lako. Ukiona vinakushinda sio lazima kuwa na mtu opt 2 b alone na ukaishi upendavyo. Ila kila mahusiano yana opportunity cost zake, u gain one you lose another.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni dhambi kumfulia mume boxer? Beki tatu ndiye aifue Best? Kuna vitu vingine ni vidogo vidogo sana ndani ya ndoa/mahusiano havistahili haya kulalamika. Kufua boxer haifiki hata dakika 10 hili nalo ni kulalama Best? Nauliza tu.



kumbe na ww BAK unajua ni vitu vidogodogo sasa kwann unapooga huko usifue! ni bora ufue alafu mie nitaenda kukuanikia!
 


hahahaha nakerakekaga na hivi vitisho vya michepuko jaman !kha!sijui nashindwa vip kuwaelewa !jaman mkae mkijua tufue tusifue nyie michepuko ni asili yenu hebu acheni kututishia nyau jaman!kha!mchepuko mchepuko ,kwan katokea bara gan huyo mchepuko !afue tu si unammwagia mifweza?
 
Pamoja na kuwa haifiki dakika kumi kufua kwanini mwanaume asifue mwenyewe? Hamfahamu kuwa yuko katika dunia ya haki sawa?
Kwa hapa Leo umeteleza mama! Ni jukumu letu kuhakikisha unadhifu wa wenza wetu iwe mume kufua za Mke au mke kufua za mume ni nyie tu na utaratibu wa mapenzi yenu,Nguo za ndani ni kitu kidogo sana ila kimebeba maana kubwa mno mumeo akikufulia kufuli zako hata kwa kuzirudia tu kwa Mara ya pili ni ishara kubwa ya mapenzi aliyo nayo moyoni juu yako na hivyo hivyo kwa mwanaume kufuliwa boxer na mkewe ni mapenzi ni muunganiko wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajibu wa mwanamke kufua Nguo za mume wake haswa za ndani. Kama mtu uko busy sana sawa hg anaweza kufua suruali na mashati ila vest na boxer zisikushinde jamaniiii.

Sent using Jamii Forums mobile app


huenda hujamwelewa sawa tunafua yaan yy anauliza kwann usiwe unafua ukitoka nayo bafuni! mbn easy tu
 
Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
Hii haina fomula inategemea mnaishije na mkeo/mmeo if your friends mtafuliana bila tatizo, na if mnaishi kwa principles za mume na mke hii itakuwa agenda....but ni kitu simple sana kwa wanao ishi kwenye ndoa ya upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…