Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni