Ni sahihi kuwaweka wageni wanandoa chumba kimoja?

Ni sahihi kuwaweka wageni wanandoa chumba kimoja?

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habarini wadau,

Kuna suala linaleta shida kwangu pengine na wewe ulishawahi kujiuliza kipindi cha nyuma je ukiwa na ugeni wa watu wawili mke na mme au baba yako na mama wanakutembelea ni sahihi kuwaweka chumba kimoja au wanatakiwa kuwa vyumba tofauti chukulia hauna uhaba wa vyumba na kimaadili imekaaje ni ruksa kuwaandalia wageni wako chumba kimoja.

Wasalaam
 
Inategemea na hadhi ya mgeni. Kama VIP ruksa, kama ni wale ndg wa mbali nawatenganisha makusudi ili WAIMISI wa wahi kusepa.
 
Upo sahihi mkuu wanandoa wakikutembelea wape chumba kimoja
 
Tena shuka weka za rangi na khanga kwa ajili ya mama itasaidia saana tu. Hata wakikaa wiki usijali mpe ruksa mama abadili mwenyewe shuka akitaka. Kwako itakuwa baraka tu
 
Sasa wanandoa unawatenganisha vipi?
Ikiwa wako wengi, labda wamekuja kwa shughuli fulani, wanaume watalala kwao wanawake kwao. Lakini kama ni single couple wape chumba chao, hata kama mmoja ni mwanao
 
me naona inategemea na wageni wenyewe..kama ni kwangu wamekuja marafiki zangu wanalala zao rum moja ...unawapa rum tu kwani si wanandoa?! na si kwa ajili ya kulala?! Kama wakijiongeza chumban ni wao sio ww kuwafikiria ...
 
Inategemea ni kiasi gani unawafahamu na zaidi mahusiano yao pamoja na mazingira yaliyowafanya kuja kwako kwa pamoja. Kama huna uhakika sana ni bora uwaulize tu/muulize mmoja wao.

Ndoa hizi wakati mwingine zina mambo mengi ambayo mtu baki sio rahisi kuyaona kwa nje. Kuna watu wanakaa nyumba moja lakini kila mtu na chumba chake au kitanda chake. Kuna ambao wakiwa wenyewe nyumbani hata hawaongei au kusalimiana, lakini ukija mgeni utaona wanaongea na hata kucheka.....
 
ni sawa mi mwenyewe nkienda ukwen nalala na wife hakuna shida yeyote walale tu
 
Hili nalo sasa ni swali mkuu?

Jibu ni sahihi...
 
swali,wamekuja kugegedania kwako au wamekuja kwa sababu zingine kama jibu ni ndio basi acha wagegedane ikiwezekana nawewe nenda mkafanye threesome kabisa...
 
Kwanini unitenge na papuchi yangu,yaan sisi wengine hatuna aibu napiga pumbu mpaka wewe utaamka tu

Umefanya usiku wangu uwe mtamu sn maana nipo ugenini. Usiulize nipo na mke au mchepuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom