Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Wakuu naomba tusaidiane.

Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi?

Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi?

Je, ni sahii kujinyima raha ya kulidhishwa kimapenzi kwa kigezo cha kuitwa mwaminifu na mwenye msimamo?

Karibuni
 
Mawasiliano ni jambo la msingi sana kwenye mahusiano. Mawasiliano uhusisha na jinsi ya kuelezea hisia zako kwa mwenza wako ukiona unashindwa kumwambia ukwel jua unakaribisha roho ya usariti. Ni vizur umwambie na kama kuna tatizo mjue namna ya kulitatua kwa pamoja
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu.

This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu. This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
Umejibu vyema japo umebase katika tendo la ndoa peke yake. What if hapiki chakula vizuri? Kuoanga nguo kabatini ni zero au nyumba vunbi na kichanga ya kufs mtu! Hapo inahitaji mpaka uwe na mpango kando? My dear HUMILITY ni kkubali unapoona kuna mapungufu. Ila ukiwa na majibu ya mkato kiivyo kwa mwanaume anayejali maisha ya kimahusiano finally nakuona, wanamke arrogant na katili. Maisha ya doa ni zadi ya sex kama unavoichukulia halafu ukute kwa tabia hizi mdo huyo mwanamke kila alhamisi anaenda kitchen party! Tobaaaaa! Sory nimejibu bila kupepesa macho.
 
You know nothing about men. Kumwanga haina maana kuwa nimeridhika. Kumwaga kwetu ni sawa na kushiba, mtu akikwambia nimeshiba aina maana kuwa chakula chako kilikuwa kizuri/kitamu. Mda mwingne huwa tunamwaga ili kupunguza nyege zetu na kutimiza wajibu lakin sio kwamba tunakuwa tumeridhika. Ndio maana unaweza shangaa jamaa kapiga bao moja tu alaf akapotezea kuendelea na mchezo.

Alaf kiridhishana kuhusisha mambo mengi sio sex pekee.
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu. This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
Kwamba tuna achiwa mwili wote tufanye tutakavyo? Kwa hiyo mwanamke Ni kufika kitandani na kupanua mapaja unasema Babaa mbususu hyo Apo ..!! Je na mm nilikwambia Mamaa dushe Hilo jimwage mwage...!

Unadhani Ni nn kitatokea Apo??
 
Kwamba tuna achiwa mwili wote tufanye tutakavyo? Kwa hyo mwanamke Ni kufika kitandani na kupanua mapaja unasema Babaa mbususu hyo Apo ..!! Je na mm nilikwambia Mamaa dushe Hilo jimwage mwage ...!

Unadhani Ni nn kitatokea Apo??
Yaani unakuta umeam umeambia ukijisikia we fanyaga tu mi ngoja nilale Nina usingizi kwa mwanaume unayejitambua huwezi fanya maana utakuwa unafanya jogging kutafta mechi fitness tu.
 
Mawasiliano ni jambo la msingi sana kwenye mahusiano. Mawasiliano uhusisha na jinsi ya kuelezea hisia zako kwa mwenza wako ukiona unashindwa kumwambia ukwel jua unakaribisha roho ya usariti. Ni vizur umwambie na kama kuna tatizo mjue namna ya kulitatua kwa pamoja
Ujumbe maridhawa kwa mahusiano bora...
IMG-20211103-WA0008.jpg
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu.

This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
Umeichukulia kwa wepesi Sana mada hii. Ulichokisema hakina hakina ukweli wowote. Hata wanaopiga punyeto huwa Wanamwaga na sio guarantee kuwa huwa wanalidhika.

Msisitizo wangu natamani kuwa na mahusiano ambampo uwepo wa mpenzi wangu unanipa utosherevu na utulivu na ku appreciate kuwa hakika huyu mpenzi wangu anitosheleza.

Sio uko na mpenzi ila uwepo wake haukati kiu yako ya utosherevu wa penzi
 
Yaah ni ajabu kidogo kuskia mwanaume haridhiki sijui yeye anataka afanyiwe nini ili aridhike.
 
U
Umeichukulia kwa wepesi Sana mada hii. Ulichokisema hakina hakina ukweli wowote. Hata wanaopiga punyeto huwa Wanamwaga na sio guarantee kuwa huwa wanalidhika.

Msisitizo wangu natamani kuwa na mahusiano ambampo uwepo wa mpenzi wangu unanipa utosherevu na utulivu na ku appreciate kuwa hakika huyu mpenzi wangu anitosheleza.

Sio uko na mpenzi ila uwepo wake haukati kiu yako ya utosherevu wa penzi
Ungefafanua kuridhika katika mlengo upi katika mahusiano, sex, maongezi , umbo, kimo au kurishika nae katika nini hasa??
 
Umejibu vyema japo umebase katika tendo la ndoa peke yake. What if hapiki chakula vizuri? Kuoanga nguo kabatini ni zero au nyumba vunbi na kichanga ya kufs mtu! Hapo inahitaji mpaka uwe na mpango kando? My dear HUMILITY ni kkubali unapoona kuna mapungufu. Ila ukiwa na majibu ya mkato kiivyo kwa mwanaume anayejali maisha ya kimahusiano finally nakuona, wanamke arrogant na katili. Maisha ya doa ni zadi ya sex kama unavoichukulia halafu ukute kwa tabia hizi mdo huyo mwanamke kila alhamisi anaenda kitchen party! Tobaaaaa! Sory nimejibu bila kupepesa macho.
Still wewe ndo humridhishi! ataendaje kitchen party aache naniliu lake hapo? umelala na house girl ndani tena mbichi anaenda kitchen party!! km haogopi house girl una tatizo la msingi!

watu woote hao ndani kwako kwa nini wasipange nguo wao!! Ok Jaribu kumpa house girl apange akifanikiwa kufanya kazi hii, ujue una tatizo la msingi wewe, siyo mke. ok! kwanini usipange wewe? unavoona ni sawa?

Kwa nini uone humillity dhidi yako lkn bado uko nae!! wewe ndo una ji-hummiliate nafsi yako!! kwani umepigiliwa misumari? usiseme eti unajali ndoa za kikoloni hizo! vijikaratasi!! kanakoweza shika moto kakapotea!
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu.

This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
Zile moment tunazimiss
 
Back
Top Bottom