ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,876
- 3,285
Ngoja waje wajuzi
Ila nimeona Waarabu waislamu mtu anamuoa mtoto wa baba yake mdogo kabisa tumbo moja. Hii ni sawa kweli?Kama ni kanda ya ziwa, na ni wakerewe, wajita , hao nimeona wengi wameoana Binamu, hata wapare pia kuna baadhi nimeona wameoana Binamu. Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA
Yaonekana umeshafanya maamuzi, comments ambazo haziendani na unachotaka kuambiwa unakuwa mkali!!
Wewe kama una akili ya kuzaliwa tu, achana na akili unayoipata elimu ya msingi, akili ya kuzaliwa tu unaona ni sahihi kumuoa mtoto wa mjomba wako??
Katazo lipo, linaitwa MORALITY. Unataka mpaka liandikwe?? Open up your mind, dont be infatuated that much to the point you are morally blind!!
Huyo ni dada yako.
Isikilize dhamira yako ya ndani... kama inakwambia hili si jambo sahihi basi acha na ukatubu na kama inasema ni sahihi basi we fanya tu lakini kumbuka Sheria ya Jamhuri ya Tanzania kuhusu ndoa hairuhusu ndoa kwa ndugu wa damu.
Alafu cku nyingine unapoomba ushauri jitahidi kuomba ushauri huo kabla hujafa maamuzi. Pili soma kwa umakini ushauri utakaopewa na kama huelewi soma mara saba saba. Ucombe ushauri kwa jambo ambalo umeshalifanyia maamuzi sasa tutakushauri nini? Nakuuliza hivi wanawake wameisha hadi ifikie unataka kumuoa mtoto wa mjomba wako? Labda kwa kuongezea tu kutoka kwa mwenzangu hapo juu ni kwamba hapa duniani hakuna dini walw dhehebu linaloluhusu ndugu wa damu kuoana, yaan kaka, dada mjomba, shangazi, mtoto wa dada, mtoto wa kaka, mtoto wa mjomba nk. na kwa kumalizia ubishi wako, mimi ni mtumishi ktk idara ya ndo, vizazi na vifo, hata ndoa ya serikali hailuhusu ndugu kuoana. Mwacha huyo binti aolewe na watu wasio ndugu tafuta mwanamke mwingine.
Yesu mwenyewe ametokea kwenye chimbuko la mtu kumuoa mtoto wa mjomba wake. Jacob alioa mabinti wawili wa Rabani ambaye ni mjomba wake, yaani Rahel na Leah na akazaa nao watoto 12 na ndiyo asili ya makabila 12 ya wana wa Israel ambao ni ukoo wa Yesu.
Maana yake unataka mama yako na kaka yake wawe wakwe?
Mambo ya nyakati hizo yalitokea kwa sababu maalum. Kwani watoto wa Adam na Eva si walioana wao kwa wao?, hatuhalalishi jambo kwa historiaKama Rabani na mama yake Jacob kwenye bible waliogeuka kuwa wake Jacob aliwaoa Rahel na Leah.
Si kweli uislamu hauruhusu kuoa mtoto wa mama mkubwa/mdogo.[/QUOTE][QUOTE="Lisa, post: Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA