Ni sahihi kumuoa Binamu?

Ni sahihi kumuoa Binamu?

Inategemeana na iman na mila za kwenu+uelewa wako na kile unachokiamini,kumbuka binamu nisawa na mtoto wa mamkubwa au wa bamkubwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuna mjomba wangu ana mabinti wanne hawajaolewa. Nimempenda mmoja lakini nikasita kwa sababu sina uhakika na jamii itanifikiriaje kumuoa mtoto wa mjomba.

Nimechunguza nimeona kwamba kwa mila zetu wajita mtoto wa shangazi watu wamewahi kuoa. Lakini mtoto wa mjomba kumekwa na kigugumizi, hawaweki wazi sana.

Ila mapenzi ya kawaida watu wamefanya sana na mabinti wa wajomba ingawa sijawahi kuona wanaofikia kuoana.

Je, ninaweza kumuoa mtoto wa mjomba?
 
Kuna baadhi ya makabila huko huko kanda ya ziwa hususani maeneo ya mkoa wa mara, kuoa binamu ni ruksa kabisaa. Ningefahamu kanda ya ziwa wewe unatokea wapi au kabila gani ningeweza kukupa ushauri mzuri zaidi kwa kuwa nazifahamu mila na desturi za makabila karibu yote ya kanda ya ziwa.

Usiishie kusema binamu maana mtoto wa mjomba na mtoto wa shangazi wote ni binamu. Mimi haja yangu ni mtoto wa mjomba.
 
[QUOTE="Lisa, post: Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA[/QUOTE]
Si kweli uislamu hauruhusu kuoa mtoto wa mama mkubwa/mdogo.
 
Kugonga ruksa ila kuoa hapana!
Kama kuoa afadhari awe mtoto wa shangazi ila sio wa baba mdogo au baba mkubwa.
 
Dada binamu anaolewa kama kawaida tena hii kitu ni world wide niliiona kwny ile tamthilia ya jumong jamaa kaoa mtoto wa mjomba .... Na huko uarabuni ndo kabisaaa
 
Mtazamo haunisaidii. Nataka kujua kama kuna katazo.
Yaonekana umeshafanya maamuzi, comments ambazo haziendani na unachotaka kuambiwa unakuwa mkali!!
Wewe kama una akili ya kuzaliwa tu, achana na akili unayoipata elimu ya msingi, akili ya kuzaliwa tu unaona ni sahihi kumuoa mtoto wa mjomba wako??
Katazo lipo, linaitwa MORALITY. Unataka mpaka liandikwe?? Open up your mind, dont be infatuated that much to the point you are morally blind!!
Huyo ni dada yako.
 
Wakuu sitaki niseme mengi lakini lakini kifupi mhhh mambo yameharibika swali hilo linauzito sana kwenye kichwa cha habari nahitaji ufafanuzi sahihi kifupi me ndo nimemtoa huyo binti kila kitu chake alichopewa na mungu!!wenyeji wa mkoa wa kanda ya ziwa ndo mnahusika zaidi maana hili ni letu nginekama inawezekana au niendele na mipango mi

Nawasilisha
Binamu nyama ya hamu si wa kuoa
 
Back
Top Bottom