Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,690
- Thread starter
- #21
Hofu yangu ni kuwa watu tunaweza kutaka kubana matumizi for the sake of kuonekana hatutumii kingi na hivyo tunavyopunguza matumizi wenyewe tunaamini tunafanya vizuri. Wakati wa ujenzi wa nyumba mwenye nyumba analazimika kujiuliza anataka kujenga nyumba ya namna na kutumia fedha kwa lengo hilo. Lakini nyumba ikishakamilika, katika suala la mapambo na madoido mengine mwenyewe nyumba ana uhuru mkubwa wa kubana matumizi ya hapa na pale.
Tanzania wakati mwingine tunajiona kama Marekani au Ulaya, as if tumejenga jumba letu sasa tunalipamba na kufanya landscaping.
Tanzania wakati mwingine tunajiona kama Marekani au Ulaya, as if tumejenga jumba letu sasa tunalipamba na kufanya landscaping.