Ni rumors/tetesi gani ulishawaisikia kuhusu wewe hadi zikakuacha umepigwa na butwaa?

Kuna vipisi vya bhangi vilikutwa maeneo ya shuleni, nilitafutwa na migambo kila mahali eti ni mimi ndie nilikua nimevivuta.. Wakati nilikua navutiaga maeneo mengine mbali na hapo..
huo moshi wa bangi waonesha mpka Leo uko kichwani
 
Hahaa aisee, have u ever heard a rumor abt urself and just sat there and be like, who the fuc* came up with this dumb sh* t?
Some people are really blessed when it comes to umbea umbea haswa huko makazini.
So what messed up rumor did they come up with about you...
 
Kuna mshenzi mmoja humu alimsema MTU mabayaaaa, sasa nikawaza kweli anamjua vizuri au kasimuliwa umbeya? Manina zake/zao
Wewe ulikuwa unamjua huyo mtu personally nini... Shida nikuwa watu wakiambiwa kitu kuhusu fulani, hata hawajisumbui kuhakikisha kuwa ni kweli au la... Wao wanayachukua tu hivohivo
 
ile tetesi ya kuishi na VVU akati home naishi na wazazi mpaka leo cjaielewa
Duh aisee, tetesi kama hiyo inaweza ikafanya hadi watu wakutenge hivi hivi.. Ukabaki unajiuliza kosa gani umefanya
 
Nlihamia ofisi mpya tukaendana damu na bosi wangu na watu wengi tu ...spendagi tabu na mtu mimi
Ila sasaa naona watu wakaikoleza ya mi na bosi kuwa natembea nae asee was in shock siku naambiwa duuh nlishangaa sn the guy is js cool, muungwana sn na mi sio msumbufu kwny kazi i always deliver so we automatically click cz m reliable

Km hio haitoshi nlizushiwa wanaume wengine kibao ambao binafsi hata siwajui...and huwa hamna la kufanya zaidi ya kuendelea na maisha yako wanaosema unawaacha waseme
 
Kuna vipisi vya bhangi vilikutwa maeneo ya shuleni, nilitafutwa na migambo kila mahali eti ni mimi ndie nilikua nimevivuta.. Wakati nilikua navutiaga maeneo mengine mbali na hapo..
Hahaha naona walihisi kwavile huwa unavuta, basi hivo vipisi itakuwa ni vyako tuu..
 
Tetesi ya ku***** tena ilianzia humu aisee. Haikuniuma sababu it was a total lie but kwanini mtu asingizie jambo kubwa hivyo. Sijawahi na bado sijawaza kutoa tako
Duh, sasa hapo ni kuharibiana image tu... Ulim-confront huyo mtu/watu kuhusu hiyo issue
 
ile tetesi ya kuishi na VVU akati home naishi na wazazi mpaka leo cjaielewa
Mkuu hii ilinipata na mie mpaka leo nashangaa sana. wakati niko home nilikuwa nakaa nyumba ya uani alone ko mara 1-1 nikawa navusha.

maza flani wa jirani alisha nishuhudia mara 4-5 navusha bidhaa, akaja b dada kitaa nikawa na mahusiano nae.

siku moja ananambia jirani yako anasema umewaka nilibaki nashangaa ikabidi nikapime niko safi mpaka leo nikirud home niko moto na jirani yangu.
 
Nlihamia ofisi mpya tukaendana damu na bosi wangu na watu wengi tu ...spendagi tabu na mtu mimi
Ila sasaa naona watu wakaikoleza ya mi na bosi kuwa natembea nae asee was in shock siku naambiwa duuh nlishangaa sn the guy is js cool, muungwana sn na mi sio msumbufu kwny kazi i always deliver so we automatically click cz m reliable

Km hio haitoshi nlizushiwa wanaume wengine kibao ambao binafsi hata siwajui...and huwa hamna la kufanya zaidi ya kuendelea na maisha yako wanaosema unawaacha waseme
Ni kweli vitu vingine unawaacha waseme mpaka wajichokee... Lasivyo utajipotezea muda tu ukiamua kubishana nao
 
Nilihamia shule moja hivi nikafikia darasa lina binti mmoja machepele vibaya kufika na ugeni wangu akanidaka juu juu ndani ya majuma mawili akawa kapropose tumegane, nikakataa, rumours za mimi kua ni choko hata zilipotokea nikashangaa nakuja kuzoeana na washkaji wanaona nawatolea macho mabinti wananiambia bob mbona tuliambiwa we choko ulimshindwa ...

Kilichofuatia ITV ile mwaka mpya ni fulana yangu ndiyo inajua
 
Hio sio siri wewe ni choko na masela wa mwananyamala wanamega kisela
 
Back
Top Bottom