Ni rumors/tetesi gani ulishawaisikia kuhusu wewe hadi zikakuacha umepigwa na butwaa?

Kuna mshkaji wangu kitaa tulifanana kimtindo. Bahati mbaya akafariki baada ya kuugua.

Then taarifa zikasambaa mtaani kwamba nimekufa mimi. Sikuwepo kipindi hicho.

Nilirudi baada ya miaka miwili kila mtu ananishangaa kama kaona mzimu!
 
tetesi nilizozisikia simu yangu imefanana na
na ya yule mama hivo nimemuibia kumbe kaiacha nyumbani kwake na housgrl ndie aliepokea wakat ikipigwa.
Hahahahaha hii ishu kama niliisoma hapa Jf jana, hahahahahaha pole sana Mkuu.
 
Kuna mshkaji wangu kitaa tulifanana kimtindo. Bahati mbaya akafariki baada ya kuugua.

Then taarifa zikasambaa mtaani kwamba nimekufa mimi. Sikuwepo kipindi hicho.

Nilirudi baada ya miaka miwili kila mtu ananishangaa kama kaona mzimu!
Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Kuna mshkaji wangu kitaa tulifanana kimtindo. Bahati mbaya akafariki baada ya kuugua.

Then taarifa zikasambaa mtaani kwamba nimekufa mimi. Sikuwepo kipindi hicho.

Nilirudi baada ya miaka miwili kila mtu ananishangaa kama kaona mzimu!
Hawa kukukimbia?!!
 
Back
Top Bottom