[/QUOTE]We ni t.ko idiot.........OTE=torokoko;4784852]Yakhe andika yako utupe yao huitaki
niliposima taito tu nilijua ni mwanakijiji. Big up big man kwa kudadavua. Hiki chama na serikali yake vimetuchoka. Nasi tumewachoka.
Simply put, Ni ripoti ya kijinga.
Ni utoto tu make mimi ningetegemea watupe ufafanuzi kwa nini walizuia mikutano ya siasa na wakati huo huo mikusanyiko mingine kama mechi za soka, sherehe za harusi nk vikaachwa viendelee? Kikubwa hapa nadhani wana hamu ya kupiga marufuku vyama vya upinzani na hasa cdm kufanya siasa baada ya uchaguzi, hii ni dhambi sawa tu na ubakaji.
Hivi kusema siasa zihamie bungeni maana yake nini? kwa mtizamo wangu ni kwamba kamati inataka kuiokoa ccm kwa sababu wamegundua kuwa wananchi walio wengi wanawaamini na kuwasuport chadema kuliko ilivyo kwao, ni kama wanakiri kuzidiwa majukwaani na kwahiyo wanajua mahali pekee wanapoweza kutamba kwa urahisi ni bungeni ambako ni wengi na wanahodhi maamuzi ya kipi wangependa kizungumzwe ambacho hakitishii maslahi ya chama hicho.
Naamini kabisa kamati hii ni sehemu ya maandalizi ya mkakati wa ccm kuzima nguvu za vyama vya upinzani kabla ya uchaguzi ujao, ndiyo, lengo ni hilo kwa sababu hoja ya kwamba wananchi waachwe wafanye kazi ni ya kijinga kama sio ya kipumbavu maana sijawahi kusikia wananchi wakilazishwa kuacha kazi zao ili wahudhurie mkutano wa siasa. Lakini zaidi hii mikutano inafanyika mara ngapi kwa eneo moja mpaka ifikie mahala tukasema inaathiri shughuli za wananchi? Au ndo haya aliyosema wassira kwamba chadema haitafika 2015? yangu macho!