Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao.

Yule Unguja
Yule Singida
Yule Kigoma
Yule Mara
Yule Ruvuma
Yule Tanga

Tutasikia kila aina ya milio na miguno

Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi?

Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani.

No reform no Election

Ubaya ubwera!!
Hakuna kura itapigwa mwaka huu.
No reforms No Election
 
Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao.

Yule Unguja
Yule Singida
Yule Kigoma
Yule Mara
Yule Ruvuma
Yule Tanga

Tutasikia kila aina ya milio na miguno

Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi?

Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani.

No reform no Election

Ubaya ubwera!!
Alone YULE UNGUJA!

IMG-20250524-WA0019.jpg
 
Anaetaka kuingia ikulu kwa fitina. Huyu mama afyatue watu ijulikane moja. Kuendelea kuwadekeza watamkwaruza mgongo bila yeye kuwakwaruza.
Acha akomae na wapinzani ambao hawana shida huku nduguze wakiendelea kumtafuna kimyakimya

TAL alishatueleza kitambo kuwa hawa mafisi wakishaumiza upinzani vya kutosha watahamia mbungi ya wao kwa wao. Hawakuitwa fisiem kwa bahati mbaya.
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    8.3 KB · Views: 10
Kwamba tukipiga kimea huwa tunaropaka ka bi mkubwa
Sikusema hivyo. Umeunganisha mwenyewe kwa logical non sequitur fallacy.

Mimi mbona nina uzoefu wa kupiga double double single malt highland Scotch Whisky bila kuropoka?

Whisky ikikutana na kichwa hakuna tabu. Mkapa kanywa Whisky mpaka kadondoka Sea View.

Alcohol free since January 1, 2024.
 
Anaetaka kuingia ikulu kwa fitina. Huyu mama afyatue watu ijulikane moja. Kuendelea kuwadekeza watamkwaruza mgongo bila yeye kuwakwaruza.
Nani kakwambia watanganyika wako tayari kutawaliwa na raia wa kigeni,acheni hizo,huyo mzay/Oman hatoboi,

Arudi zake kwao akalee watoto,koti tulilomuazimisha wenye nalo wanalitaka
 
Anaetaka kuingia ikulu kwa fitina. Huyu mama afyatue watu ijulikane moja. Kuendelea kuwadekeza watamkwaruza mgongo bila yeye kuwakwaruza.
Nani kakwambia watanganyika wako tayari kutawaliwa na raia wa kigeni,acheni hizo,huyo mzay/Oman hatoboi,

Arudi zake kwao akalee watoto,koti tulilomuazimisha wenye nalo tunalitaka
 
Ndio changamoto kua na raisi Dalali.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom