Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

HII KITU ILITOKEA MALAYSIA, waliamua ku revoke contract zote za government kwenye minerals ilizo weka na investors! NAONA NA SISI TUIGE HUO MFANO! MAULANA MOLA WETU ATUONGOZE MILELE YOTE!
Hawa kwanza walijiondoa kwenye ile mikataba ya kimataifa inayotambua zile mahakama zao,hyo ndo ujanja wa haraka,tatizo nchini kwetu tunachagua viongozi kwenye hoja nyepesi,kwa mfano tungempata raisi aliyelijengea hoja jambo kama hili kabla haya ya kuwa rais Ni lazima angekuwa anajua way forward,hayo mambo Ni serious sana,ts a win loose situation,
 
"zuio la usafirishaji wa makinikia nje ya nchi ni wastani wa hasara ya mapato kwa siku, inayozidi dola za Kimarekani milioni moja (sawa na angalau shilingi bilioni mbili zaTanzania). Kwa hali hii, tunatathimini kila tuwezalo kufanya."

Hii ngoma bado mbichi!!
 
Tumkumbuke JK Nyerere, tuliwatwanga makaburu mpaka wakasalimu amri! Na ndiyo nguvu hiyo hiyo itakayo tumika kuwakunja hawa majangili, dadeki!
 
Tumkumbuke JK Nyerere, tuliwatwanga makaburu mpaka wakasalimu amri! Na ndiyo nguvu hiyo hiyo itakayo tumika kuwakunja hawa majangili, dadeki!
Makaburu hatukusainiana nao mikataba, hawa TUMESAINIANA NAO MIKATABA KWA HIYARI
 
Tumkumbuke JK Nyerere, tuliwatwanga makaburu mpaka wakasalimu amri! Na ndiyo nguvu hiyo hiyo itakayo tumika kuwakunja hawa majangili, dadeki!
Kipindi kile mambo yalikua yanafata kanuni na weredi sio kwa kukurupuka!!
 
Afu mimi nawashangaa wa tz ivi kwa akili yenu mnafikiri madini ni yenu? Tumieni akili haya madini yangekuwa yetu siwange tuhusisha kwenye mikataba, mimi siwezi kuingilia ugomvi nisio ujua. Wakati walio chukua chao wametulia
CCM wametuingiza kwenye hasara kubwa sana nchi hii. Mkapa aka Lodilofa yupo kimya kama bata aloyenyeshewa na mvua. Haya yote ni madudu yake.
 
Ni ccm hii hii ambayo ilikuwa na kina sumaye na lowasa au?!
Cha msingi tumeona wapi tumekosea na uwezo wa kujisahihisha tunao kama nchi. Tusubirie kamati ya pili inasemaje
Lazima CCM hii hii walikuwepo sumaye na lowassa tuiwajibishe. Kujua kosa ni hatua moja na kuwawajibisha wakosaji ni hatua nyingine.
 
Mimi kama mtanzania nimekuwa na wasiwasi sana maana hii ripoti wanayoipinga wana points na wanaosema ni sawa pia wana points ila maamuzi ya hekima na busara ni muhimu
 
Kama wanajiamini wako sahii Basi waende mahakamani wasitutishe
Na kiukweli hawa jamaa wataenda mahakamani. Sidhani hata hivyo kama wanatutisha; ni jojm ndo kawatisha sasa wanaelekea kuchukua hatua ambazo kama maelezo yao ni ya kweli yatawagharimu wapiga kura.
 
Mbona Acacia wana tapatapa? Mh Rais alipo teua hizo tume alisema atagawa hizo ripoti kama njugu? Mimi nakimbuka alisema ana teua hizo tume kujiridhisha. Sasa Acacia wana taka copy ya nini?
Wao wanajua ukweli wao. Na Mh rais amesha jiridhisha.
 
Na kiukweli hawa jamaa wataenda mahakamani. Sidhani hata hivyo kama wanatutisha; ni jojm ndo kawatisha sasa wanaelekea kuchukua hatua ambazo kama maelezo yao ni ya kweli yatawagharimu wapiga kura.
Basi na Tusubiri tuone nani ni kweli
 
Ni heri tupiganie chetu kwa gharama, kuna siku hata wewe utajitambua! Umaskini wa mawazo ulionao, utakupotea ukiwa radhi!!
Ni kweli kabisa, ni lazima kupigania chetu hata kwa gharama. Je, unaifahamu gharama yenyewe?

Si umasikini wa mawazo kusema kuwa mtafaruku huu ni matokeo ya ukurupukaji wa mamlaka. Haya ni masuala ya kisheria zaidi na hasira haziwezi kuyashughulikia.

Subiri usikie muda unavyoongea!
 
Back
Top Bottom