Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

Huruma kwa vizazi isianzie kwenye kuziba nyufa. Akumbuke na sisi tukumbuke, vile wapinzani walivyopiga kelele bungeni juu ya hii mikatba ya siri, miswaada yenye mambo mazito inavyopitishwa kwa hati ya dharura, na namna yeye akiwa mbunge alivyoshiriki kupitisha hayo madudu, na namna walivyodhihakiwa na kukebehiwa. Leo mnataka wafanye nini?

Kumbukeni kinachoendelea hadi leo bungeni, wamewekwa kina tulia kusimamia maamuzi ya serkkali na kupinga kila hoja inayotolewa na wapinzani eti kwa kuwa wataipiga chini cchm ambayo ndiyo yenye haya madudu. Mnataka watu afanye nini? Waliyataka. CCM ndiy e adui wa hii nchi. Acheni kunyoosha vidle kwa watu wambao hadi leo wengine miongoni mwao wamepotea katika mazingira ya kutatamisha na hakuna dalili ya mtu kujali.

CCM ndiyo inatupa hii misiba.
Ni ccm hii hii ambayo ilikuwa na kina sumaye na lowasa au?!
Cha msingi tumeona wapi tumekosea na uwezo wa kujisahihisha tunao kama nchi. Tusubirie kamati ya pili inasemaje
 
Halafu kijitu ya Lumumba inaanza kunyooshea watu vidole,oooh mara walipokea rushwa kwa Acacia mara nini.Inasahahu kwamba CCM ndio waasisi wa huu uozo maniner zao.Nna hasira na hawa watu mkuu we acha tu,Yaani nikiona yale marangi ya kijani natamani nimchane chane mtu na meno.Halafu leo yanakuja kutufanyia ngonjera as if hayakuhusika na chochote.
Lakini waliokuwa sehemu ya ku engineer haya yote leo hii wapo chadema.
 
Wanatudharau wanafikiri bado tumelala hakuna wasomi Tz, tutahakikisha tunapata chetu.... wezi wakubwa hao.
Wasomi wako wapi?mbona wameshindwa kusoma mikataba wakaingia mkenge usikurupuke akili yako haiwezi jadili hili
 
ACACIA na Deo Mwanyika wao wafungue kesi waache kututisha.Hayo maelezo wakayatoe mahakamani. Kibaya zaidi huyu Deo Mwanyika ni mwanachama wa CCM na alitaka kugombea ubunge jimbo la Njombe kusini mwaka 2015.Alimwaga pesa sana.Lakini dakika za mwisho akagaili.Kikulacho kinguoni mwako.
Bravo... real talk
 
Nadhani yale mambo ambayo upinzani walikuwa wakiyapigia kelele enzi na enzi jamaa anaanza kuyapigania. ..ukweli ni kwamba katika kuyapigania tukubali kama nchi iliyokua imelala kuwa we have to incur the cost for the mistakes we have done past. ...ishu ni kwamba tumeamua kusonga mbele basi tukomae mpaka kieleweke haya mambo ya kunyoosheana vidole hayatufikisha popote kama kweli tunataka tanzania ilioendelea. ..nchi zote duniani zilizoendelea they were developed coz they learnt thru their mistakes wakainuka wakapigana. ..
Really talk.. nice one
 
Mr.wakukulupuka kaz anayo km aleta utan kudanganya umma kwaa ajil sifa sasa kaz anayo..kaliamsha dude
mtu anajaribu kuwasaidia mn m discourg tena? mm wa tanzania nimeshindwaga kuwaelewa kabisa hakunaga jema kwenu hata moja?
tuache siasa kwny kila kitu itatugharim sana atlist tumpe moyo mana akipita kwny miaka ijayo mwanao au mjukuu atakula mema ya nchi. ivi c ndo sisi watanzania tunao lalamika kuibiwa kila ck?
 
Dah! !?what a dumb nation like this? ? Rais anapigania mikataba ya madini ikae sawa watu eti wanamsikilizia ajikwae? ?tuwe na huruma kwa vizazi vyetu vijavyo guys we are too much selfish

nitakuwa na uruma na nchi hii pale tu ccm itakapo kufa na kuzikwa,tofauti na halo tuendelee kuibiwa mpaka mwisho
 
Tuache kuangalia issues kwa jicho la kisiasa kila wakati. Watanzania someni hotuba ya Prof Mruma na Mh Rais ili msipotoshwe....narudia someni zile hotuba kwa umakini sana ....waliofukuzwa sababu zimetolewa ...anayepinga uhalali wa sababu zile aende kwenye hotuba zile anukuu na kuzileta hapa na kuzipangua hoja kwa hoja ....wanaotaka kutumia takwimu kupinga ripoti ni vizuri wakatenda haki ....wachukue kila findings za tume na kuzipinga kwa hoja .....tuache kufanya siasa kwenye mambo ya msingi ....kwenye hili Watanzania watawapigia msumari wa mwisho wa unafiki wa wanasiasa wetu ....Bora Zitto aliyekiri TAFITI hupingwa kwa TAFITI ....Issues za mikataba imegusiwa kwenye ripoti ya tume lakini watu wanakomaa na spinning kupotosha umma ....shame on you ...
 
Kwa hili tuko radhi kulipa fidia,lakini hatuwezi iachia mikataba ya hovyo hovyo isiyotunufaisha wengi,Mda wa dili nchi hii umeshapita hatutokubali tunasimama na Rais wetu bila kuangalia itikadi za vyama.Magufuli washikilie chini hapo hapo kamanda wetu
 
Nimesoma sijaona tofauti ya uzito wa magwangala ya kizungu yaliyo kutwa katika containers na kike kilicho kwenye nyaraka za mzigo.

Hata hivyo tatizo liko wapi? Maana makasha yenye mzigo yako utafiti ufanyike katika magwangala yaliyo zuliwa na tutalinganisha na rekodi za hiyo historia ya miaka 20.

Lakini wakati hawa jamaa wanalilia kuchenjua mchanga uliozuiliwa mh. Rais naye angefaya utaratibu wa kuchenjua mikataba ya haya makampuni ilikilichomo kiwe wazi.
[HASHTAG]#Ramadhan[/HASHTAG] karim.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom