jamani mbavu zangu nimecheka mpaka basi, kwa sifa hizi huyu ni raisi zaidi ya mfalme juha
lol!!!!!!!!
Kama kuna mfano wa nchi ya kusadikika basi raisi huyu anaiongoza nchi ya kusadikika
kwasababu ni raisi mwenye wananchi wa kulalamika pembeni bila matendo.