No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
Rais wa Tanzania aliyeleta mabadiliko ya kweli ni Kikwete peke yake. Nimebahatika kuwepo awamu zote nne.
Nyerere = huyu hafai kabisa.
Mwinyi = alijitahidi sana lakini alikuta uozo ulioachwa na Nyerere.
Mkapa = Huyu hana lolote zaidi ya ubabe na kujilimbikizia mali. EPA, KAGODA, RADAR, NDEGE, UMEME, yote madudu yake.
Kikwete= shule, zahanati, uchumi, barabara, umeme, utalii, demokrasia, maji, viwanja vya ndege, mahusiano ya kimataifa, mikutano ya kimataifa Tanzania. Karibu kila nyanja kawapita hao wote vibaya sana.
Chukua vya wote hao, utakuta Kikwete kawashinda katika vyote kwa idadi na ubora. Hakuna hata kimoja ambacho hajafanya zaidi yao, tena jumlisha vya wote si mmoja mmoja. Na ndio bado hajamaliza muda wake kwa miaka zaidi ya mitatu. Huyu Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete anasatahili kila dua njema.

direct wewe untakuwa na mtu wa karibu sana wa JK hilo halina ubishi..ordinary Tanzanian ambaye hana direct contact na hawa marais au hakuwa na direct contact hawez kuweka comment ya aina huuJK Raisi wa kwanza kudhibiti malaria kwa vitendo.
Raisi wa kwanza kuruhusu mawaziri wapelekwe mahakamani bila dhamana!
Raisi wa kwanza kukutana na upinzani mzito lakini akavuka salama!
Raisi wa kwanza kutoa uhuru wa vyombo vya habari!
Raisi wa kwanza aliezungukwa na wajanja (Mawaziri, plus na na na)
JK huwezi mfanananisha na Mwinyi au Mkapa!
Japo anamapungufu yake but sii sawa na hao waliopita!!
God bless him
JK Nyerere: Alishindwa kujenga hata nyumba yake ya kuishi lakini chanzo cha umaskini kilianzia kwake kwa kuanzisha azimio la Arusha
A. Mwinyi: Free rain leadership: Nchi ilijilimbikizia madeni kibao mpaka leo hii hayajamalizwa kulipwa
B. Mkapa: Utandawazi na soko huria: Kajilimbikizia mali nyingi na kawa chanzo cha rushwa Tanzania
JK aka baba Mwanaasha: Hapa sichangii
Naomba maoni yenu
Rais wa Tanzania aliyeleta mabadiliko ya kweli ni Kikwete peke yake. Nimebahatika kuwepo awamu zote nne.
Nyerere = huyu hafai kabisa.
Mwinyi = alijitahidi sana lakini alikuta uozo ulioachwa na Nyerere.
Mkapa = Huyu hana lolote zaidi ya ubabe na kujilimbikizia mali. EPA, KAGODA, RADAR, NDEGE, UMEME, yote madudu yake.
Kikwete= shule, zahanati, uchumi, barabara, umeme, utalii, demokrasia, maji, viwanja vya ndege, mahusiano ya kimataifa, mikutano ya kimataifa Tanzania. Karibu kila nyanja kawapita hao wote vibaya sana.
Chukua vya wote hao, utakuta Kikwete kawashinda katika vyote kwa idadi na ubora. Hakuna hata kimoja ambacho hajafanya zaidi yao, tena jumlisha vya wote si mmoja mmoja. Na ndio bado hajamaliza muda wake kwa miaka zaidi ya mitatu. Huyu Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete anasatahili kila dua njema.
Rais wa Tanzania aliyeleta mabadiliko ya kweli ni Kikwete peke yake. Nimebahatika kuwepo awamu zote nne.
Nyerere = huyu hafai kabisa.
Mwinyi = alijitahidi sana lakini alikuta uozo ulioachwa na Nyerere.
Mkapa = Huyu hana lolote zaidi ya ubabe na kujilimbikizia mali. EPA, KAGODA, RADAR, NDEGE, UMEME, yote madudu yake.
Kikwete= shule, zahanati, uchumi, barabara, umeme, utalii, demokrasia, maji, viwanja vya ndege, mahusiano ya kimataifa, mikutano ya kimataifa Tanzania. Karibu kila nyanja kawapita hao wote vibaya sana.
Chukua vya wote hao, utakuta Kikwete kawashinda katika vyote kwa idadi na ubora. Hakuna hata kimoja ambacho hajafanya zaidi yao, tena jumlisha vya wote si mmoja mmoja. Na ndio bado hajamaliza muda wake kwa miaka zaidi ya mitatu. Huyu Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete anasatahili kila dua njema.
Shule mpaka chuo kikuu cha dodoma (By the way, ni chuo kikuu au primary. Chuo unsoma mpaka mwisho hufundishwi na mwalimu mwenye PhD.
Pamoja na ubabe wa Mkapa, by the way Tanzania tunahitaji dictator, uchumi uliimarika. Miaka kumi Daa nauli ni 150 Shs only
Nyerere wakati wake hela haikuwepo bwana.