Ni rais yupi kati ya hawa anakubalika zaidi?

samahan wanajf wenzangu kumlinganisha baba wa taifa na hao wengine tnakosea sana,anyway mbal na nyerere,MKAPA anaongoza tena amewapta mwnyi na kikwete mbali mno
 
Kikwete kafanya vizuri, uhuru wa kungea kwa kila mwananchi mpaka siri za vigogo wala rushwa kufichuka angekuwa mkapa wengi wangewekwa rumande cheki akina Slaa,Mbowe na wengine wengi sasa wako huru wanaweza kuikosoa serikali wanavyotaka.
 
Kwa mtu ambae hajui misingi ya uchumi endelevu ni nini basi ana haki ya kumpinga nyerere,wote wana mapungufu lakini hawa wengine kuanzia kwa Mwinyi ndio wamekuja kuua nchi kabisa,elimu mbovu,fedha thamani ni aibu,huduma za afya juu na mbovu,ulinzi na usalama umeporomoka imebaki propaganda mpaka kwy jeshi,viwanda vyote kufa badala ya kuendelezwa,watanzania wamebaki kuwa wachuuzi tena wa bidhaa fake za nchi jirani na kwingneko
 
Back
Top Bottom