Ccm ni chama kikubwa!Hata Hilo halipondani ya uwezo wako .
Unaipinga serikali yako?wewe ni muhaini.Please put your facts straight;
Hii ni awamu ya tano mhula wa pili
Hatuna awamu ya sita bado.
Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2020, ndio kipimo cha utendaji kazi wa Serikali iliyoko madarakani, na si vinginevyoTukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini.
...
Tatu je mwaka mmoja unatosha kweli kujipima kwa utendaji wa nchi kubwa Kama Tanzania yenye wakazi zaidi ya milioni 60.
....
Ndugu yangu nchi hizi zetu zenyewe maskini, lakini badala ya kujitathmini, na kusonga mbele bila kutumia pesa nyingi zisizo na tija kwa kuadhimisha sherehe, na badala yake kusonga mbele na kunyanyua uchumi duni na umaskini walionao,wao vipaumbele ndo hivyo tena.....Kaaazi kwelikweli.Hii mzee Kuna watu wanatumia fursa sema sisi watz ni waoga Sana kuhoji.
Serikali iliyoko madarakani ina fedha nyingi kutokana na tozo, misaada na mikopo hivyo ina uwezo wa kugharamia sherehe yoyote ile ya Kitaifa au kiongozi binafsi.Ndugu yangu nchi hizi zetu zenyewe maskini, lakini badala ya kujitathmini, na kusonga mbele bila kutumia pesa nyingi zisizo na tija kwa kuadhimisha sherehe, na badala yake kusonga mbele na kunyanyua uchumi duni na umaskini walionao,wao vipaumbele ndo hivyo tena.....Kaaazi kwelikweli.
Ushamba tu, nchi inavituko Sana, ukiona mtu analazimisha kuonesha amefanya nini jua hajafanya kitu, FANYA kaa kimia watu wataelewa na Dunia itakuelewa kwamba umefanya kitu, mfano chukulia Rais wa ZambiaTukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini.
Je ni raisi gani wa TANZANIA aliyewahi kufanya sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja tu wa madaraka yake?
Je Kuna kipi kipya ambacho kimefanyika katika mwaka mmoja huu ambacho hakikuanzishwa na mwenda zake?
Tatu je mwaka mmoja unatosha kweli kujipima kwa utendaji wa nchi kubwa Kama Tanzania yenye wakazi zaidi ya milioni 60.
Je, wananchi wanaichukuliaje hii sherehe na inamaslahi gani kwa wananchi wanyonge Kama Mimi?
Je, kutapatikana fursa ya kufanya tathmini ya kina ya kujikosoa ili kufanya maboresho katika nyanja mbalimbali za kiutendaji Kama serikali au shughuli itakuwa imemezwa na Sera za kusifu kila kitu?
Naombeni majibu wadau ili tusaidie kupeleka mbele gurudumu la Taifa tujadili kistaarabu tukitanguliza maslah mapana ya Taifa na uzalendo .
Tuache ushamba .Tukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini.
Je ni raisi gani wa TANZANIA aliyewahi kufanya sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja tu wa madaraka yake?
Je Kuna kipi kipya ambacho kimefanyika katika mwaka mmoja huu ambacho hakikuanzishwa na mwenda zake?
Tatu je mwaka mmoja unatosha kweli kujipima kwa utendaji wa nchi kubwa Kama Tanzania yenye wakazi zaidi ya milioni 60.
Je, wananchi wanaichukuliaje hii sherehe na inamaslahi gani kwa wananchi wanyonge Kama Mimi?
Je, kutapatikana fursa ya kufanya tathmini ya kina ya kujikosoa ili kufanya maboresho katika nyanja mbalimbali za kiutendaji Kama serikali au shughuli itakuwa imemezwa na Sera za kusifu kila kitu?
Naombeni majibu wadau ili tusaidie kupeleka mbele gurudumu la Taifa tujadili kistaarabu tukitanguliza maslah mapana ya Taifa na uzalendo .
Pale mliman city ni sherehe tu Kama sherehe zingineView attachment 2156436Tuache ushamba .
Kinachofanyika siyo sherehe ni tathmini yaliyoganyika kwa mwaka. Wanaaanzia siku 100 hadi mwaka..mambo hays yalianzia hilo USA kama sikosei kwa rais roosevelt
Kumbe hayo Mambo ni ya mabeberu,Tuache ushamba .
Kinachofanyika siyo sherehe ni tathmini yaliyoganyika kwa mwaka. Wanaaanzia siku 100 hadi mwaka..mambo hays yalianzia hilo USA kama sikosei kwa rais roosevelt
Hahaaaaaaaaaa....Wanawake na vi-birthday party, utawaweza? Tutaona mengi sana!
Duh hatariHahaaaaaaaaaa....
Kitu kikubwa kinachonipa hofu watu wanasifia mpaka wanapitiliza Yani kasoro hazisemwi ni sifaaa sifaaaa sifaaa mpaka basi,Kama mama asipokuwa makini na kukumbuka alipotoka atafeli Sana.Mashamba Yao makubwa ya unyang'anyi yamerudi, bandari zao kavu zinajengwa, vichwa vya mabehewa Yao vinakuja, kwanini wasishinikize kufanya sherehe?
Tuwaache!
TIME HEALS ALL WOUNDS
Well said Mkuu, juzi juzi hapa nilikua nimepata nafasi kutazama kipindi cha Malumbano ya hoja ITV kiukweli nilibidi nizime tv nikalale tuu sifa juu ya sifa hakuna mapungufu, hii nchi ngumu sana.Kitu kikubwa kinachonipa hofu watu wanasifia mpaka wanapitiliza Yani kasoro hazisemwi ni sifaaa sifaaaa sifaaa mpaka basi,Kama mama asipokuwa makini na kukumbuka alipotoka atafeli Sana.