Ni rahisi mno kutongoza safarini

Ni rahisi mno kutongoza safarini

mlimamkuu

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
16
Reaction score
5
Katika utafiti nilioufanya safari mbalimbali nimegundua
1.Ni rahisi kumtongoza mwanamke na kulala nae mnapofika eneo mlilokusudia kwenda
2.Pia ni rahisi kwa mwanamke kupata mchumba ndio sababu inayosababisha wao kuwa rahisi kukubali.

MENGINE NI YAPI?
 
safari hata hizi za daladala au za mikoani, kama vile buguruni na kisarawe....?
 
Wadada wengi ukimtongoza safarin atakubali ili umnunulie vitu njian mkifika sehemu ya kula ununue ila Kama ajakupenda mkifika ndio umuoni tena
 
Me nakubali kwa asilimia 100..safari ndefu kama dar to bukoba lazima ung'oe kifaa
 
Siku hizi sex aint a thing. Mimi naona ukitaka kuwagonga hapa mjini huna haja ya safari ndefu. Wewe nunua Boxer (boda boda) iegeshe kituoni utang'oa mpaka utachoka.
 
nataman hyo bahat ya kupata demu safarin inikute na mm

...panda mabasi ya kwenda kaskazini (Kilimanjaro, Manyara, Arusha). Kuna warembo sana. Pigia timing ya vyuo kufungwa au kufunguliwa. By the time mnafika Highway Korogwe pale kidume ushatoka mrithi.
 
Back
Top Bottom