Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
NI RAHISI KUPATA UKIMWI & GONO KAMA UNA GOVI.
WANAWAKE WASHAURINI WAUME ZENU&MABWANA ZENU.
Wanaume wengi hupata maambukizi ya UKIMWI kwa urahisi kutokana na maumbile ya uume kama hayajatahiriwa. Historia inatuonesha kuwa tangu kale watu walitahiriwa ili kulinda afya ya mwili na Mungu alibariki na wale waliokuwa hawajatahiriwa walionekana kuwa wamelaaniwa au wadhambi au wachafu. Lakini ujio wa Yesu ukaleta tafsiri mpya kuwa ni vyema tukatahiriwa kwa afya zetu lakini kutahiriwa roho ni bora zaidi.
Ulimwengu wa leo umejaa magonjwa mengi sana ya kuambukiza, na imekuwa rahisi sana kwa watu ambao hawajatahiriwa kupata magonjwa kama UKIMWI, GONO n.k ndio maana tunashauri sana NDOA salama niile iliyotahiriwa Mwili na Roho. Chunguza wengi wenye maambukizi ya UKIMWI chanzo ni magovi yao, unapokuwa na govi unachukua mpaka virusi vya magonjwa ambukizi,
Nasikia pia siku hizi kuna michezo ya wanawake kulamba Koni, sasa una lamba koni huku ina kifuniko, akifunua unakutana na chembechembe za maziwa mgando. Ukweli mchungu lakini tusiwape uchafu wake zetu, wachumba zetu au mademu zetu au michepuko yetu.
Ninaongea kwa lugha halisi ili iwe rahisi kunielewa na kujirekebisha. Wanaume wenzangu mimi Deogratius. N.Kisandu nakushaurini tena kwa busara nenda ukatahiriwe uondoe hilo govi.Mimi niko salama kwa kila kitu ndio maana nakushauri.
Na ninyi WANAWAKE hamuoni aibuu jamani, muwe mnawashauri Waume zenu wakatoe hayo magovi na starehe iwe nzuri jamani. Mnaweza kupata magonjwa yakujitakia kama mmoja ni mchepukaji. siku njema.
DEOGRATIUS. N.KISANDU.
3 Januari 2017.