Ni rahisi Clinton kuwa Rais wa Tz, kuliko CDM kushinda Arumeru!

Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya FIRST CLASS ECONOMIST ,Mwigulu Muchembaaaa!!!!!. Mchemba tokeza mkuu na skafu zako mpaka za mikononi tukusikie where are you?
 
nyingine hizi hapa, LOL!

sina uhakika kama sasa hivi atakua na skafu yake kama alivoahidi hapa,

hapa alikua anajitapa kwamba wapiga kura wameelewa sana, sasa sijui wameelewa nini, ile hotuba ya lusinde?

hii hapa inanifanya nicheke tu, jamaa alikua hajaujua moto wa nyerere bado

ili isiwe ndefu tumalize na hii

Inaonekana jamaa anapenda sana kuapa, kwenye professional communication huwa inakatazwa hii, sasa sijui yeye communication skills kajifunzia wapi, au ndo zile za kujifunza 'Past Tense'
 
People Power!!!!! Hao CCM walitutukana na kutuumizia wabunge wetu ila sasa wamepata chao. Hakika i believe movement for Change imeshaanza, CCM wajifunze kuwa utawala wa kimabavu umekwisha na watu kama waliweza kuwatoa madikiteta kama Mubarak, Sadam, Gadafi, na nchi walikuwa wanawanyanyasa watu sasa mabadiliko ni lazima na watu hawadanganyiki. Mungu Ibariki na uendelee kuwafungua watu wako ufahamu na kuwapa tumaini jipya na uindeleze CHADEMA ili kiweze kuleta mabadiliko halisi kwa watu wote na taifa la Tanzania. People power. Arumeru Mashariki Hongereni kwa kuchagua CHADEMA ,......
 
Kudadadeki zao! habari za kurithishana wazipeleke huko huko CCM siyo Ubunge! na bado tukwenda kote, Adamu malima, Husseni Mwinyi, Vita kawawa na Karume, nguvu ya umma inakuja kwa kasi. CCM walilewa madaraka ikawa hadi upuuzi wao wote unaanikwa hadharani, Arumeru tulikuwa pamoja na MUNGU, tumehitimisha na MUNGU na tutaendeleza na operation zika CCM kwa kasi hii hii. Jina la Bwana libarikiwe
 
People Power!!!!! Hao CCM walitutukana na kutuumizia wabunge wetu ila sasa wamepata chao. Hakika i believe movement for Change imeshaanza, CCM wajifunze kuwa utawala wa kimabavu umekwisha na watu kama waliweza kuwatoa madikiteta kama Mubarak, Sadam, Gadafi, na nchi walikuwa wanawanyanyasa watu sasa mabadiliko ni lazima na watu hawadanganyiki. Mungu Ibariki na uendelee kuwafungua watu wako ufahamu na kuwapa tumaini jipya na uindeleze CHADEMA ili kiweze kuleta mabadiliko halisi kwa watu wote na taifa la Tanzania. People power. Arumeru Mashariki Hongereni kwa kuchagua CHADEMA ,......
:nono::dizzy::eyeroll1::smile-big::smile-big::nono:
 
1.jpg
 
Back
Top Bottom