Ni rahisi Clinton kuwa Rais wa Tz, kuliko CDM kushinda Arumeru!

kauli hii ilitolewa na muheshmiwa flani wa ccm wakati wa kampeni, namwomba mheshmiwa aje hapa achague aina ya kifo akitakacho.

Ukishindwa kumtaja, hayo yatakuwa majungu. Kima Mdogo, kuna siri gani hapa?
 
Asije kujichagulia aina ya kifo hapa akatuletea liroho lake la mauti! Akufilie mbali!
kauli hii ilitolewa na muheshmiwa flani wa ccm wakati wa kampeni, namwomba mheshmiwa aje hapa achague aina ya kifo akitakacho.
 
Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?

Achana naye huyo mkware. Safari hii dawa yao ya uchawi waliyokuwa wamepewa na mganga wao maji marefu (kama alivyowafanyia Igunga) haikufua dafu kwa wameru.

Angefanikiwa tu ''kumvua chupi'' mwanamke wa kimeru, baaaasi!
Chezea wameru veve!!
 
Nafikiri wakati anaongea hivyo alikua anawaza appointment yake na mke wa mtu akachanganya madesa!!!
 
Alisema kuwa Barcelona wakicheza na USA River united ni lazima Barca ishinde. Sasa imekwenda kinyume
 
Dah nilidhani ni wewe PJ dah.....
Ngoja mvua ikatike tukawaaongeze nguvu vijana wapenda mabadiliko
 
Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?


nyingine hizi hapa, LOL!

Sijawahi kuwapa wachungaji kalenda za CCM. HABARI YA MATOKEO AMA KULA KWANGU TUTAJUA TAR MOSI

sina uhakika kama sasa hivi atakua na skafu yake kama alivoahidi hapa,
Baridiiiiiii tar mosi nina uhakika na nitakuwa na skafu shingoni na kwenye mikono yote miwili nikishangilia. Unatamani sana nipate aibu lakini sio arumeru labda jua litokee magharibi kwenda mashariki

hapa alikua anajitapa kwamba wapiga kura wameelewa sana, sasa sijui wameelewa nini, ile hotuba ya lusinde?
Utaona tar mosi kama walielewa au la. Reading from their faces wameelewa sana ndio maana inakuuma. CCM INASHINDA

hii hapa inanifanya nicheke tu, jamaa alikua hajaujua moto wa nyerere bado
Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA

ili isiwe ndefu tumalize na hii
April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE
 
  • Thanks
Reactions: Ptz
Back
Top Bottom