Ni raha sana wajamen

Ni raha sana wajamen

Hongera sana, ss fikiria jinsi ya kumlea, ni raha sana kupata mtoto mazee
 
unauhakika ni mtoto wako.

Maswali kama haya ni hatari sana mkuu,usije kumharibia furaha yake member mwenzetu aisee, Hongera sana mdau kwa kupata mtoto karibu kwenye Ulimwengu waku agizwa Dadyyyyy leteee Pipiiii
 
Una uhakika ni mtoto wako. Unaweza furahia kumbe mkeo alichakachua na kukubambika. Hakiksha kwanza je mwanao unafanana naye afu ndo ufurahi. Siyo tukikwambia tuonyeshe mwanao hafanani na wewe wala mama yake. Take care
 
Hello

Ni raha iliyoje kuwa na mtoto!
Unajiona kama Mungu mtu vile,
When you look at him/her lazima utabasamu,
holding your child is sooooo sweeter kuliko kitu chochote kile hapa duniani
I am sooooo proud being a father,
Kwa wale ambao hamjabahatika kupata mtoto hamwezi elewa ninachokiongea

Je kwa wote wenye watoto mnafeel this way! ama ni ulimbukeni wangu wa kupata mtoto wa kwanza?
Umepima DNA?Nenda alaf ndo ulete hi mada unaweza kuta sio mtoto wako,mtazamo tu usinichukie!
 
Hongera sana ...

Umenifanya nimkumbuke Baba yangu... I love you dad

Kuna watu wanakuwa na chuki na wazazi wao; msiniulize nimejuaje...wengine ni marafiki zangu na wana declare wazi kuwa hawataki hata kuwasikia mama au baba zao (I am serious)

Juzi nimesoma kitabu 'changu' 15 Minutes Alone with God...napenda kushare na nyie kuwa ni lazima tuwapende wazazi wetu...

Kwenye hiki kitabu mnashauriwa muandikeni barua kwa Baba zenu (before they are gone) na muwaambie ni jinsi gani mnawapenda

Kuna dada aliandika barua kwa baba yake ambaye alishakufa vitani; akimwambia jinsi anavyompenda na ni true story; mwandishi alisoma hiyo barua kwenye gazeti. Huyu baba (marehemu) alikuwa close sana na binti yake...lakini mwandishi anasema kama mkono unakuwa mzito kumuandikia baba yako barua; labda kwa kuwa hakuwahi kuonyesha anakujali...basi mwandikie Mungu umwambie unapenda kumuandikia baba yako lakini mkono unakuwa mzito.

Kwa sababu mwandishi anasema kama tumeshindwa kumpenda baba wa duniani (earthly father) kwa sababu hatujawahi kuwa na experience nzuri, itakuwa ngumu kumwamini Baba wa mbinguni (heavenly father). Andika barua umuombe Mungu asimamishe hiyo laana ya kuchukia wazazi iishie kwako na isiendelee kwenye kizazi chako kijacho.

Na ukiwa unamuombea baba yako (wa duniani) ukumbuke kumuombea na mumeo awe baba mzuri kwa watoto wako.

Hakika hiki kitabu ni kizuri sana kwa watu busy kama mimi na wewe...kitafute; kina majibu ya maswali ya maisha mengi sana....ila ni cha Kikristo; samhani kwa ndugu zetu Waislamu
 
hii mada napigwa 3 bila yaani lugha mnayoongea ni kichina,mimi mwenzenu sina hata wakusingiziwa,lol.. Natamani lakini

ISent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hongera sana. Jitahd kumlea katka njia impasayo.... Nakatza mitaa ya kona baa sahv halaf nakumbuka sembe ilivyonyng moyo unauma.
 
A child is a blessing awe amepangwa au la hasha...Nakubaliana na mleta mada ni raha ukiwa na mtoto..Kwanza ukiwa na mtoto huboeki atakuentertain whole day long(ana kukeep busy)...ndio maana wahenga wakasema having a child is joy of life!!
 
Back
Top Bottom