Ni raha sana kumpenda anayekupenda

Ni raha sana kumpenda anayekupenda

Kuna kitu kinacho simamia maamuzi yetu. Lakini haraka zetu ndio hutufanya tuumie.

Unakuta msichana mdogo kabisa anataka makubwa. Kama sio tamaa ni nini?
 
Nimpate wapi mwenye kunipenda mie ili DUNIA niione yangu, nami niimbe kama MZEE YUSUPH, ''Kupendwa ndio huku kupendwa kuthaminiwa sio sumbukuku kutwa kutanga na njia''.
 
Nimpate wapi mwenye kunipenda mie ili DUNIA niione yangu, nami niimbe kama MZEE YUSUPH, ''Kupendwa ndio huku kupendwa kuthaminiwa sio sumbukuku kutwa kutanga na njia''.

Life has no formula but has principles.
 
Back
Top Bottom